Tatizo sio TCAA kumkataza, wao wanatekeleza utaratibu uliowekwa kisheria, ni ukweli kwamba sio ruksa kutengeneza chombo cha usafiri wa moto hususani wa anga bila kufata utaratibu uliowekwa kitaalam na kisheria, kabla ya kufanya hayo alipaswa kujisajili na kuhakikisha mamlaka ya anga wametoa...
Habarini wadau, namtafutia mdogo wangu wa kiume shule nzuri ya dini (Seminary) ya secondary (O-LEVEL), kati ya mkoa wa morogoro, kibaha au bagamoyo. Yenye maadili mazuri na pia mazingira ya kujisomea yawe mazuri pia. Tusaidiane waungwana pia ni vizuri zaidi kama utakua na details zote muhimu...
Kupata div iv sio ndo unakua kilaza,, hamkumuelewa magufuli, unaweza ukawa na iv ya 30 ila ukaanza certificate ukapita diploma then bachelor na ukatusua fresh tu
Hivi ni hulka, ushamba, umasikini, ulimbukeni au tamaa ya fedha kwa dada zetu vyuoni kujihusisha kimapenzi na watu wazima kama wazazi wao? I ask so because have experienced, my x tried to lie kwamba i am the only one to her.
Ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikagundua ana mahusiano na mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.