Recent content by luiMAPPER

  1. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Samsung Gallaxy Note 9

    Snapddagon unamaanisha nini hapo mkuu??
  2. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina zuri kwa ajili ya ofisi yangu ya chakula

    Food Point!..
  3. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Procedure zikoje katika kumiliki ardhi kuanzia watu wawili kwa pamoja hapa Tanzania?

    Wadau naomba kujua hizo taratibu moja baada ya nyingine.
  4. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Kuuliza sio ujinga. Kama unajua mjulishe kama hujui piga kimya.... kauli yako sio nzuri....
  5. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu Samsung Gallaxy Note 9

    Kwanza kabisa nataka kuijua interms of; 1. Safa zake 2. Utofauti wake ukilinganisha na simu nyingine za Samsung 3. Bei yake kwa sasa mpya na used 4. Betri 5. Uimara
  6. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Lala baba kazi umeifanya na mwendi umeumsliza.... pumzika kwa amani amen
  7. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania COVID19 sasa si ugonjwa pekee bali silaha ya kibaiolojia inayotumiwa na Mataifa makubwa katika vita ya kiuchumi

    Lete unga basi kama unao, mzee kosoa kwa hoja acha mbwembwe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hii inataka simu kuwa rooted!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Aisee hizi simu ni ngumu hatari......yaani kama jiwe... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wadau kauna app gani nzuri ya ku move file kutoka kwenye internal storage ya simu kwenda kwenye external storage ya simu(SD) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania COVID19 sasa si ugonjwa pekee bali silaha ya kibaiolojia inayotumiwa na Mataifa makubwa katika vita ya kiuchumi

    Watanzania wenzangu, Naomba nianze kwa kusema kwamba, endapo viongozi wa Afrika wataendelea kutawaliwa kifikra na wazungu, hakuna nchi hata moja itakayoinuka kiuchumi kama ilivyoinuka China, licha ya kuwa na rasilimali lukuki za kiuchumi. Hilo litawezekana tu hadi pale viongozi wa Afrika...
  12. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nenda kwenye call setting deactivate hiyo option!!.. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Ipi Samsung nzuri zaidi katika Samsung Note Series?

    Mimi natumia not4 mwaka wa 5 sasa na inadunda haijawaisumbua hata siku moja... hakuna simu mbovu ni matunzo tu!!!.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

    Kwani kuna mahali imeandikwa kwamba kumuapisha mtu iwe ikulu au ofisini, kama ipo basi tuonyesheni. Na kama hamna mi sioni tatizo cha msingi kazi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. luiMAPPER

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

    Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....kuna haja ganinya kufukua makaburi! Tuwasindikize waliotangulia tukumbuke pia na sisi tu njia moja. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom