Recent content by luhui

  1. L

    CHADEMA kuzindua umoja wa wanafunzi Wa Shule Za sekondari ambao Ni Wafuasi Wa CHADEMA

    Pole.kwa hiyo uliposhiriki chipukizi uliathirika kisaikolojia?pole sana
  2. L

    Dr Slaa aingia Jioni hii Kigoma mjini kwa Mbwembwe..

    Umenichekesha,yaani mapokezi ya dk slaa yamekuchanganya kabisa hadi ukashindwa kutoa comment kuhusu kilchoandikwa ukaruka mada,pole mkuu
  3. L

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nilijua huku ni siasa tu!ila nimegundua kumbe elimu yetu pia ni siasa imetawala
  4. L

    Leo tumalize mzizi wa fitna: Dr Slaa ni 90% diplomatic popular politician out of JK

    Hujaelewa alichosema,rudia kusoma tena msg.hajasema anamfananisha slaa na jk,tena kasema "ukimtoa jk"
  5. L

    TANZIA: Salum Tambalizeni kafariki

    poleni wafiwa
  6. L

    Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

    Tatizo ni muda,mtangazaji nae apange maswali vizuri.itv ongezeni muda wa kipindi cha uzalendo nusu saa kuongea watu wawili tena hoja nzito za siasa haitoshi
  7. L

    M4C chini ya kamanda Mawazo yaibomoa tena CCM Kwimba

    mmh!naona kazi inafanyika vijijni sasa
  8. L

    Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanatuchelewesha

    wazo lako zuri
  9. L

    Tundu Lissu: CUF ni chama cha Zanzibar!

    Najua nafsi yako inajua ukweli,cdm imeenea kote tz bara madiwani amejaa kote,wabunge,nk
  10. L

    Milioni mia moja za bomu Arusha

    Ndugu zile pesa tulizoahidiwa bungeni kuhusu atakayembaini au kutoa tetesi za mlipuaji wa bomu katika mkutano wa CDM Arusha mnazikumbuka,au sakata limeisha?naamini bado hajapatikana hivyo tuendelee na juhudi za kumtafuta ili 'tupate' MILIONI MIA,mtaji tosha huo!
  11. L

    Mbowe,Mnyika,Tundu Lissu na Makamanda kufunika Igunga

    bila kusahau na picha mkuu
  12. L

    Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

    Maji usipoyanywa utayaoga tu
  13. L

    Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

    watu wengi sana wamehudhuria,ameanza waitara halafu marando wa mwisho ni katibu mkuu mwenyewe
  14. L

    Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

    Katika suala la kutoa elimu na kukusanya maoni ya katiba leo katika viwanja vya Sokoni Dk. Slaa na Mabere Marando watahutubia saa tano asubuhi. Picha zitafuata,naona watu wameanza kumiminika.
Back
Top Bottom