Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

Dk. Slaa kuhutubia Korogwe leo

Uchaguzi, vyama vikikabiliana ktk ushindi wagawane sawa madaraka.
Katiba itamke wazi haki ya umiliki wa ardhi kwa wanawake.
Raisi akistaafu asipewe mshahara au marupurupu.
 
Hapa ni tangamano mkoani Tanga na yupo live slaa kwasasa. Viti maalumu pia viondolewe. Slaa anasema imeshafutwa na warioba.
 
Anahitimisha kwa kupiga pro ya chama chake na watu wanaanza kuondoka mdogomdogo.
 
Back
Top Bottom