Recent content by luhinyuza

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wote wa Barick/ ACACIA kuondoka rasmi Tanzania mwezi februari 2018?

    Wawekezaji wezi kama acacia ndo wametusababishia umasikini tulio nao. Waondoke madini yetu yabaki
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli za Tundu Lissu ni wazi kwamba anakibomoa badala ya kukijenga CHADEMA

    Tundu lisu apuuzwe, amekosa hoja ambazo zitasaidia jamii. Badala yake anachochea uasi kwa jamii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natabiri kususwa, kutengwa kwa Magufuli na kudidimia kabisa kisiasa ifikapo 2020

    Dua la kuku halimpati mwewe, kwa mambo anayofanya Magufuli Hadi Sasa uchaguzi wa 2020 njia ya kurudi Ikulu ni nyeupe kabisa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nape, Bashe na wengine; Msitishwe,simamieni mnachokiamini

    kusimamia wanachoamini Maana yake ni kusimamia maslahi yao. Kama wangekuwa na hoja ambazo zina maslahi ya maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla, watanzania wote tungewaunga mkono. Kwa vile wanayosimamia ni kwa maslahi yao binafsi, watahangaika sana na mwisho wao ni kupotea kisiasa. My take...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo vitu ambavyo hutakiwi kuhoji ukiwa Mwanachadema

    umenena vema, ukweli mchungu Ukitaka kujua kuwa hicho sio chama Bali ni Sacco's ya wachaga, ulizia mambo yanayohusu teuzi za viongozi wao, mapato na matimizi ya chadema, utaishia kuuitwa msaliti na kufukuzwa chama.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Kubenea kwa kupotezea uzinduzi wa hosteli za UDSM

    Hii inamanisha kuwa uzinduzi wa hostel za Udsm ni habar mbaya kwa chadema nakubenea. Kutokuwepo kwake hakuwezi kuizuia hostel kuzindulia. Pia huo ni unafiki mkubwa ambao ulitakiwa kupingwa vikali, inawezekana Kubenea hajui adha zinazowakuta vijana wa Udsm kutokana na kukosa vyumba vya kuishi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    Mbowe ni mharifu kama wahalifu wengine, ataanzaje kujadili hali ya ulinzi na usalama ilihali yeye mwenyewe kamteka msaidizi wake @ Ben sanane
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge kujadili usalama wa nchi

    Huwez kushinikiza kamati kujadili hulka za baadhi ya watu tu. Bali kamat itajidili masuala ya ulinzi na usalama katika Muda wanaona unafaa kama unavoona Sasa.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya uzinduzi wa hostel Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kesho

    Hakika, chadema wanapenda kuona Tanzania haipigi hatua katika kutekeleza masuala ya maendeleo. Kwa kasi ya raisi Magufuli katika kutekeleza miradi ya maendeleo chadema hakika watakosa cha kuongea.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Kama unaona uzinduzi wa ujenzi wa miundombinu ni udanganyifu, basi wewe utakuwa na matatizo. Upinzani sio kupinga kila Kitu. suala la ujenzi wa miundombinu kama reli utasaidia katika kuimarisha uchumi wetu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Dar amnanga Rais Magufuli

    Huyo Meya hamnazo, hajui hata lugha ya picha.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sababu zifuatazo zinadhihirisha watanzania sasa wanamwelewa Mh Magufuli

    Hakika, hakuna kama Magufuli , Haya ndiyo mabadiliko ya kweli tuliyokuwa tunayataka . Viva raisi Magufuli ongeza spidi,
  13. L

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Mitandao na Watanzania tumelishwa tango pori kuhusu mtoaji Bastola kwa Nape pale Protea

    Hiyo ndio shida ya kuamini taarifa bila kuwa na vyanzo vya uhakika. Kama tutaendelea kuamini tarifa za Huyo kahaba wa ugaibuni( mange), watanzania tuamke la sivyo tutaishia kulishwa matango pori kila kukicha
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    Mbona nyie mlimpitisha lowasa katika uchaguzi mkuu 2015 bila kupingwa!!?? Huoni kuwa huo ni udikteta. Nyani haoni kundule @ BAK
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa shujaa huenda kilio kwa mwoga kicheko

    Sasa naona Zama za CCM kuwa mikononi Mwana watu wachache ambao wao waliona chama kama miliki yao Sasa zimekwisha. Kwa vile alisema " ili mbegu iote lazima life na kuoza" Time will tell, Lakini ikumbukwe kuwa si mbegu zote zinazokufa na kuoza huota tena. Zingine huoza moja kwa moja.
Back
Top Bottom