Bila Magufuli CCM ilikuwa inapigwa asubuhi na Lowassa.Je,kwa sasa Membe amepata nguvu kiasi kwamba Nape anataka wajipange kwa 2020?Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
ID mbili zajijibu zenyewe kweli JF ishakuwa ya kisasa..hahahaaaa
Kumbe washangilia woga? Sikutegemea kuwa nawe utayari kuacha kutetea haki na ukweli kwa ajili ya kulinda tumbo.Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
Mapambano lazima utumie hekima.Lazima uusome mchezo.Wewe huwezi kumwajibisha MTU unayelingana naye.Baada ya kuona Makonda kachemka,angeshauriana na viongozi wake wa juu.We unamwona pacha wako nyumbani amekosea unamchapa kwanza ndiyo unaenda kuwaeleza wazazi!!.Kumbe washangilia woga? Sikutegemea kuwa nawe utayari kuacha kutetea haki na ukweli kwa ajili ya kulinda tumbo.
Mapambano huwa yana gharama zake na mara nyingi ni kubwa. Bahati nzuri Nape aliishalijua hilo kama Wazee wetu waliokubali kupoteza kazi ili Tanganyika ipate uhuru. Hebu jitafakari.
Sasa naona Zama za CCM kuwa mikononi Mwana watu wachache ambao wao waliona chama kama miliki yao Sasa zimekwisha.Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
Du ulivo na ujinga, huwezi kuona zaidi ya urefu wa pua yako.Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
Kusema kweli Nape ndiyo anapotea hivyo kisiasa.Watu watamshangilia kama shujaa lakini ndiyo kwa heri mwalimu.Hasira hasara
Matusi ya nini?.Tujadili hoja.Kwani aliyekuambia kuwa Siasa ni Uwaziri ni nani huyo. Amekupotosha sana!!!!!!
watoto wakikua wataacha ujinga.Au zimeji quote
Kwel Dada angu @ LindaSiku zote mtu hupewa anachostahili .Nape ulistahili kabsa kupumzishwa maana alikokuwa akielekea sio kwan alikuwa mtu wa dharau nakujiona hakuna mwingne zaidi ndani ya Chama na hawez fanywa lolote .