Recent content by Luhendemagikulu

  1. Luhendemagikulu

    Nataka kujiunga Open University of Tanzania, naomba ushauri

    Safi,,naongezea kwa kutoa ushauri,,ukiwa unasoma chuo,,jitahidi juu chini na kadili ya uwezo wako urudie somo la B/Mathematics,,,itakusaidia kwa baadae.
  2. Luhendemagikulu

    Msaada kuhusu EGM combination

    Mtu aliyesoma COMBINATION YA EGM upande wa degree anaweza soma BA in Economics and Statistics BS in Mathematics BS in Agricultural Economics BS in Irrigation and water resourse engineering BS with geology etc
  3. Luhendemagikulu

    Naombeni msaada kwa yeyote anayejua Sifa za kujiunga na ADVANCED DIPLOMA na namna ya kuaply

    Yawezakuwa,,maana hata mimi napiga diploma nina government sponsorship,,cha kushangaza serikal imeshindwa kutuma pesa kwa ajil ya chakula, mpaka sasa tumestisha masomo na tupo nyumban mpaka pale serkal itakapopeleka pesa,
  4. Luhendemagikulu

    Naombeni msaada kwa yeyote anayejua Sifa za kujiunga na ADVANCED DIPLOMA na namna ya kuaply

    Serikali kupitia wizara husika ilitangaza kutoa loan kwa ngazi ya diploma,,ila siyo kwa kozi zote bali kwa kozi zinazoendana na mahitaji ya serikali.
Back
Top Bottom