NACTE yatoa majina ya waliochaguliwa intake ya mwezi March 2017

Wakuu naombeni mnijuze kama mtu amechaguliwa anafanyaje ili ahame kuingia vyuo vya serikali maana vile vilikua private tupu
 
Ni kweli jamen
Posti zimetoka pitia profile la mhusika
Na vyuo vile ndio vyenye kibali kwa awamu hii
 
Back
Top Bottom