Innocent kilyenyi
Member
- Mar 5, 2017
- 14
- 12
Mm nina division 3 point 14
HGK
HGK
Loan inaanza kutolewa mwaka huu.Mnufaika atanufaika kama mwanachuo wa ngazi ya chuo kikuu,ila kumbuka kuna 18 percent baada ya.Pia niulixe hivi diploma ina loan toka loans bord au hakuna loan?
hαwα jαmαα wαmєѕhíndwα tσα lσαn kwα wαtu wα dєgrєє ѕαѕα wαtαwєzα tσα kwα wα díplσmα...αu wαnαtαkα futα ílє gσvєrnmєnt ѕpσnѕσrѕhíp kwα wαlíσkuwα wαnαnufαíkα nαчσ kwα díplσmα вαdαlα чαkє ndσ wαwє wαnαwαpα míkσpσSerikali kupitia wizara husika ilitangaza kutoa loan kwa ngazi ya diploma,,ila siyo kwa kozi zote bali kwa kozi zinazoendana na mahitaji ya serikali.
Yawezakuwa,,maana hata mimi napiga diploma nina government sponsorship,,cha kushangaza serikal imeshindwa kutuma pesa kwa ajil ya chakula, mpaka sasa tumestisha masomo na tupo nyumban mpaka pale serkal itakapopeleka pesa,hαwα jαmαα wαmєѕhíndwα tσα lσαn kwα wαtu wα dєgrєє ѕαѕα wαtαwєzα tσα kwα wα díplσmα...αu wαnαtαkα futα ílє gσvєrnmєnt ѕpσnѕσrѕhíp kwα wαlíσkuwα wαnαnufαíkα nαчσ kwα díplσmα вαdαlα чαkє ndσ wαwє wαnαwαpα míkσpσ
Zamani advance diploma ilikuwa sawa na degreeADVANCED DIPLOMA umeona wap wanatoa hiyo Course.......
unαѕσmα chuσ gαnYawezakuwa,,maana hata mimi napiga diploma nina government sponsorship,,cha kushangaza serikal imeshindwa kutuma pesa kwa ajil ya chakula, mpaka sasa tumestisha masomo na tupo nyumban mpaka pale serkal itakapopeleka pesa,