Jinsi ya kupata ufadhili wa kusoma kozi ya General Agriculture vyuo vya serikali

Fredrick Mmari

Senior Member
Jul 8, 2013
144
37
Nina kijana wangu wa kike matokeo ya 4m 4 ana 2.21

Civ C
Hist C
Geog C
Kisw C
Engl C
Bios C
Phy F
Chem C
Math D

Anaweza pata sponsorship ya serikali/mashirika uyajuayo kusoma certificate ya General Agriculture?
 
Sidhani asee...maana ninachokijua serikali kupitia mfuko wa benjamin mkapa hutoa ufadhii kwa certificate ya clinical medicine na nursing(kama miaka 2 iliyopita)...hii ya general agriculture sidhani asee kama ipo maana hitajio lake si kubwa sana...tusubiri wanaojua vyema kwa ufafanuzi
 
Asubiri msimu wa kuomba vyuo (mara nyingi inakuaga ni kuanzia mwezi June ili masomo waanze mwezi Agosti au Septemba) na siku hizi huwa wanaomba kupitia NACTE. Kati ya nafasi zinazokuwapo kuna watu hua wanapata government sponsorship hivyo wanakua wanalipa gharama kidogo sana. Nimezungumzia hayo kwa uchache tu kutokana na experience yangu ya miaka kadhaa iliyopita niliwahi kupata sponsor ya serikali kusoma kilimo ngazi ya diploma katika moja kati ya vyuo vilivyochini ya wizara ya kilimo MATI.

with time nafasi za sponsor zimekua zikizidi kupungua. Kila la heri na mafanikio mema.
 
Nina kijana wangu wa kike matokeo ya 4m 4 ana 2.21

Civ C
Hist C
Geog C
Kisw C
Engl C
Bios C
Phy F
Chem C
Math D

Anaweza pata sponsorship ya serikali/mashirika uyajuayo kusoma certificate ya General Agriculture?
Kwann asome certificate wakati ana point nzuri na zimebalance...
 
Sijakupata unaposema kama ata specialize miaka 2 dip.

Nijuavyo Cert. mpaka Dip. itamchukua miaka 3 kumaliza
System za vyuo vya kilimo unasoma CGA(certificate in general agriculture) -2yrs

Ukishamaliza unaweza kukaa nyumban mwaka mmoja afu unaaply diploma
1-Diploma in general agriculture 1yr course
2-diploma in crop production 2yrs
3-diploma in horticulture 2yrs
4- diploma in irrigation 2yrs

Kuanzia no 2 ndo kuspecialize kwenyewe na kuna nyingine

Akipata ufadhili michango huwa kama laki 5 iv na ushee,,kwa msada zaid tembelea ofic za wizara ya kilimo
 
Nashukuru kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom