Recent content by LUHAKO

  1. L

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    Mheshimiwa Zitto nafasi pekee ya jina lako kuandikwa vyema katika historia ya nchi hii ni kuwa mnyenyekevu, kili makosa. Ahidi na uwe mwaminifu kwa chama chako, bila shaka utavuna heshima na si aibu. Kutenda kosa si kosa.
  2. L

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Wanao wafurahisha CCM mnawaona sasa?
  3. L

    CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

    CCM mngetueleza wale magamba mlishawavua magamba tayari?
  4. L

    Mrema toka amekuwa kiongozi wa NCCR na TLP kwa miaka 15 hajafanya safari za nje kama Slaa na Seifu

    Mtoa mada, ninaamini hujui kwamba hapa ni mahala pa magreat thinkers. Kwa mada hii, naona unatupotezea muda na nafasi jamvini.
  5. L

    Ten most powerful people in Tanzania!

    Mleta mada ni mmojawapo wa watanzania ambao bado hawajajitambua. Wasiojitambua huwapa hadhi na heshima wezi wa mabilioni ya walipa kodi, lakini wako tayari kumtoa roho mwizi wa kuku. Ndiyo maana leo kijana ameajiliwa mwaka huu na anaonekana makini anapomiliki mali mwaka unaofuata na kuwa tajiri...
  6. L

    Raisi Kikwete kama una ubinadamu wa kuhudhuria misiba,vipi kwa yatima huyu aliebakwa?

    Tunataka tuone haki ikitendeka, vinginevyo tutaamini kwamba sheria ni kwa watu wa kawaida.
  7. L

    Urais 2015, kundi langu ni CCM

    CCM inakufa ikiwa haina viongozi, inawaganga njaa tu. Nasema hivi kwa sababu hata tukimuangalia usoni, Mchemba anaonekana anasema au ameandika asichokiamini. Nani mjinga wa kuamini hayo ambayo hata mwenyewe unajua kwamba huyaamini?
  8. L

    Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

    Unamjua atakaye mrithi Jk? Pilipili iko shambani halafu unawashwa!!!!!!!!!
  9. L

    Nionavyo mimi: CHADEMA kuwa na mwenyekiti mpya tofauti na Mbowe ni hatari kubwa

    Ivi Mheshimiwa mbunge mstaafu Warid Kabouru alikuwa mwenyeji wa mkoa gani. Mbona historia yake ni kusaliti mageuzi akarudi CCM. Isije ikawa hata watu wengine wa huko kwao walio upinzani wakawa wanatumika kama alivyotumika huyu mbunge wa zamani. Tanzanians take care.
  10. L

    John Mnyika: CHADEMA haihusiki na 'Taarifa ya Siri'

    Waliotuhumiwa kwenye mtandao (Zitto na wenzake) ni sawa na kisa cha kuoga mtoni, mwendawazimu kachukua nguo zenu anatimua mbio. Nanyi bila kutumia akili mnatimua mbio kumfuata mkiwa uchi wa mnyama. Kwa kashfa hii, tutamuona anayestahili kuwa kiongozi CDM.
  11. L

    Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

    Mvivu wa kufikiri pekee ndiye atachelewa kugundua kwamba Mchange kwa kuamua kutumika kuivuruga CDM umechagua jina lako lisomeke kama majina yenye laana katika historia ya matengenezo ya taifa letu. Kama unahekima rudi chamani uombe radhi utasamehewa. Mtu kujiunga na Chama mapema si kigezo cha...
  12. L

    Ngome ya Zitto Makao Makuu ya CHADEMA Kuvunjwa Wiki hii

    Wooote mnao mtetea Zitto ni wapenzi wa CCM, mimi nawapeni pole kwa sababu chini ya uongozi mahili wa Mbowe mmeshindwa na sasa mmelegea. Mbowe mtamhonga nini, amezaliwa kwenye familia ya fedha. Sasa mnataka mapandikizi wenu mlio wanunua waongoze CDM mbinu hiyo mliitumia kuiua UDP, NCCR Mageuzi...
  13. L

    Ngome ya Zitto Makao Makuu ya CHADEMA Kuvunjwa Wiki hii

    Wana CDM & Wana CCM jiulizeni: Kwa nini wenye mwelekeo wa CCM hapa jamvini wanamfagilia sana Zitto Kabwe na wanadhihirisha chuki zao dhidi ya Mbowe? Ebu tusiwe wavivu wa kufikiria. :sad:
  14. L

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Sijaona sababu yoyote ya kusababisha kutilia shaka utendaji wa Mh. Mbowe katika uongozi wa Chama. Kama ni kufukuza wasaliti ndani ya Chama, hakuna adhabu mbadala kwa wasaliti wa CDM wanaofanya kazi kwa siri na Mzee Wasira, Mwigulu nk. CCM hawajapata kupumua vizuri katika kipindi chote cha...
Back
Top Bottom