Naam, kila mtu, kwa nafasi yake, popote pale ulipo, tenda kama vile ungependa utendewe wewe ama ndugu/mwenza/mtoto/rafiki yako wa karibu.
Vulnerability inapaswa kuwa drive ya kukufanya kuwa makini zaidi, isichukuliwe for granted. Nakupongeza sana kwa kuthamini kile ulichofanyiwa wakati...
Ukibarikiwa kuhudumu katika fani ya ndoto yako, mara nyingi matokeo huwa yanaacha alama.
Kuna couple niliihudumia some years back, saizi tumekuwa familia, wananiita Kaka.
Tunapigiana simu mara kwa mara, kujuliana hali, kutembeleana, kushirikishana fursa and the likes.
Inapendeza sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.