Recent content by Lugoda lwa chuma

  1. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Tunduru

    ndo hao hao WA mtaani
  2. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Tunduru

    wapi kama wote ila wanapenda Sana hela ndogo ndogo
  3. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi Tunduru

    IPO mambo mazuri hotel 70 elfu ubaoni usiku MMOJA, zipo lodge Kali hazihesabiki za 20, 15, kuhusu viwanja vikali kuna laplasido apo ni pakali Sana,kuna terminal pub IPO stand NI Kali Sana pia, kuna camp David Napo NI pakali pia IPO osdeda NI kiwanja na lodge Kali hapo hapo, kama Una maswali...
  4. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachuo wa DIT afariki kwa kuanguka kutoka ghorofa ya 10

    DAH !!! Kama ni mahusiano hiyo ni ujinga. Anyway r.i.p
  5. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Wasanii na ndugu wa Chid Benzi mpelekeni hospitali, huo Mguu wake unaoza

    Kwani nyie wasanii wenzake hamjui??? Kama mnajua why msimzingatie mwenzenu? Au hadi afe ndo mjifanye mnatambua uwepo wake??? Shame on you!!! Msaidieni chidi hadi now mshachelewa but it's not too late
  6. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

    khamenei yupo Sana jipe moyo
  7. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Mbona wanajeshi wanaimba matusi kuliko tanesco kwenye nyimbo zao
  8. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Biblia, Kwanini Yesu aliwauliza wanafunzi wake yeye ni Nani?

    Majibu ya hapo juu yamejaa maelezo mengi ila bado sijayaelewa
  9. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Biblia, Kwanini Yesu aliwauliza wanafunzi wake yeye ni Nani?

    Mkuu umejibu vizuri lakini kuna swali hujalijibu, Kwanini wanafunzi wengine kumi na moja majibu yao hayajaelezewa? Yametoka majibu ya Petro pekeyake!! Je we unaamini wale wengine 11 majibu yao yalifanana na ya Petro? Au walikua na maoni tofauti ila yakafichwa?!!! NB;YESU ALIWAULIZA WOTE KWA...
  10. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Biblia, Kwanini Yesu aliwauliza wanafunzi wake yeye ni Nani?

    Habari zenu Wana jamvi. Moja Kwa moja niende kwenye mada husika...Ukisoma biblia kuna muda yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu wanamwita nani, kuna walio mjibu kuwa watu wanasema wewe ni Elia, kuna wengine wakajibu kuwa watu wanamwita mwalimu e.t.c, Kisha akawauliza tena "Ninyi mwasema mimi...
  11. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Nishaendaga na mwanangu mmoja kwao siku zile za free shule za boarding. Ukiachana na mjengo mkali ndani nilikuta kaunta kama ya bar aisee ina ma vinywaji ya ulaya utasema yale masebule ya kwenye muvi za kinaijeria. Iyo ilikua 2011 na ilikua mara yangu ya kwanza kuona kaunta ya bar ndani ...
  12. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanasiasa wanapenda kuongea na waandishi wa Habari kwenye kumbi za Makanisa?

    Izo ni kumbi za kibiashara kama kumbi zingine sioni kama kuna shido
  13. Lugoda lwa chuma

    JamiiForums Tanzania Uhusiano Huu na Huyu Mshikaji Unanipa Mshangao Mkubwa Sana

    Kama hana logo za kishoga basi dogo ni wakishua uzungu mwingi. Usimuhisi vibaya ishi nae kiwema
Back
Top Bottom