Humphrey ni shidaa na si mcha mungu kamwe huwezi kuwa hivyo anavyofanya ni katili ajabu.Sasa si achukue tu mikoba ya Nape.Ingekuwa rahisi ningekataa kumpa nafasi kwenye vyombo vya habari
ki ukweli shule za kata zimeanzishwa kudidimiza watu wa kawaida na kwa malengo ya vijana wa masikini kuendelea kutawaliwa.Shame on those who initiated them
:A S thumbs_down:
Wewe akili yako ndogo kama ya mulongo kaa kimya mbunge ana hadhi kubwa kuliko mkuu wa mkoa amepigiwa kura na wa elfu hamsini mlungo ameteuliwa na mtu mmoja tu.kaa kimya huna lolote
wewe ndo mbumbu hujui unalolisema kama ushamba wewe namba moja tena lenye mbolea asili.funga domo lako linalonika ufisadi na una roho mbaya !!!!!!!!hilooooooooooooooo!!!!!!!!11
akili yako ndogo sana kuzidi ya sisimizi,huna maana kabisa unafaidika na nini kwa lwakatare kukaa mahabusu au jina la chadema kuharibiwa na watu wanaojiona wako juu ya sheria
kawaida katika maisha ni hivi:unatakiwa kutunza siri za kikundi,chama au kampuni unalofanyia kazi hata ukiacha kazi tunza siri zao ndo uungwana huo.Kwa tabia yako si rahisi kuaminika na mtu yeyote tena kwa kuwa mkigombana unasema vyote mlivyofanya pengine kwa faida ya washindani wenu.ccm nasema...
Niseme mtela mwampamba kuwa wewe ni mtumwa,amini tu kuwa hauko chadema umevaa gamba.Issue ya uwakilishi kwenye kesi ni lazima uaminike kwanza bila hivyo hakuna anayeweza kusimama kwa ajili yako.Je ludo kama ameshasaliti kama ulivyofanya wewe kwanini watu wahangaike naye?nikupoteza nguvu ambayo...
hawa wasaliti wakija kanda ya ziwa tutawapiga na mavi ya ng'ombe makavu yanaitwa ndelya,wajaribu sie tuko serious na ukombozi zao la pamba linashushwa thamani na hawa watu wa ssm wala hawana mpango wa kutusaidi
Inapendeza kaka comment zako zina mashiko,hatupaswi kuogopa kuchukua maamuzi mazito kwa kisingizio cha kuonekana wadini,wakabila na wana ukanda.Ukikosea hat UTOKE MOSHI TANGA TANDAHIMBA AMA NAMTUMBO FAGIO LINAKUPITIA TU .KIKUBWA TUJEENGE HESHIMA NA NIDHAMU YA KUWATUMIKIA WATANZANIA
Hawa watu wako confused hasa Juliana anataka kuendelea na cheo wakati wakubwa anawanyea kwenye mikono sidhani kama alipitia chuo kikuu huyu labda tu amedesa sana.
Mara nyingi upepo mbaya unapoyumba kwenye chama ni test kwa uongozi,mara nyingi uongozi makini hutatua matatizo kwa kufanya maamuzi magumu ,chadema wanaweza na watasonga mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.