Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

Polepole: Waliopinga katiba ya Warioba wamehama

polepole yuko sahihi mumemkera kuwaondoa wahasisi wa katiba ya wananchi na kutafuta wauni kukalia kiti kitakatifu,
nakumbuka kauri yake alisema ccm ,ukawa wakisimamisha fisadi nitawambia watanzania kuwa huyu ni fisadi hafai,
polepole ni mzarendo na mtu sahihi na ndo maana mumeanza kumvamia usiku inawezekana mnamtisha ili hasiseme ukweli ,
lakini hata akinyamaza milima itasema ukweli mungu hafanyiwi unafiki,,

kwa hiyo uelewa wa polepole fisadi ni lowasa peke yake ktk kizazi kilichopo cha ccm?
 
SITA,SAMIAAA SULULU, SIMBACHWENE,CHENGE, JK aliyesema wazi kwaniin Warioba hakufaa na rasimu yake no wamehama.
 
Kanone,Sio ushetani mkuu,weka hapa umalaika wako basi.

mkuu kwani alichokosea polepole ni nini?
kwani wahasisi wa ukawa slaa na lipumba wako wapi lowasa najua kilichowafanya kuungana?
je alipoulizwa kuhusu katiba unajua lowasa alijibu nini?

kazi yenu ni kumuandama polepole na kumtumia watu usiku ni ushetani tu,
 
SITA,SAMIAAA SULULU, SIMBACHWENE,CHENGE, JK aliyesema wazi kwaniin Warioba hakufaa na rasimu yake no wamehama.

wewe acha usanii ndo maana watu wanasema swala la ukawa lifutwe ni kiini macho kuriko maigizo ya ukawa ili ibaki ccm
ya kukataa na cdma ya kukata chini ya lowasa,ili tuelewe ,
 
kwa hiyo uelewa wa polepole fisadi ni lowasa peke yake ktk kizazi kilichopo cha ccm?

mkuu tatizo lenu hamuelewi polepole badara yake mnamkurupukia yeye anachokiongele ni wizi wa lowasa alioutangaza cdm chini ya slaa na mnyika iweje leo hii watufanyie maingizo ya futui? yeye anaangali nafsi ya urais tu
maana waliomuita fisadi ni cdm leo wanae na walikuwa na nyaraka za wazi mikononi mwao,
je walikuwa wanatudanganya na hawajajitokeza kukanusha tena,

 
Msimlaumu HP huyu Mzee ni kuhurumia, kitendo cha kukiri yeye ni kada kindakindaki kinatosha kabisa kumpotezea, make ni dhahiri anapigania chama yuko tayari kung'ang'ania Nyekundu ni Njano au Nyoka ni Samaki.
 
achana na polepole kamwambie aliyemtumia watu kupitia mtandao wake saa nane usiku ili kumfanyia umafya ikulu ni ya watakatifu wala umafya hautamsaidia,
Hayo ya polepole kutumiwa watu ..mwenyewe kaonyesha kwamba ni maigizo..kwani alivyojibu kwa mizaha kwamba imekwisha..km vile najua maadui zake wapo wangapi na mikaka yake.....MIMI NILIMAANISHA KITU AMBACHO CCM HAWAJUI ..POLEPOLE ANAJISIFU YEYE N ACCM KWA KUMKATA LOWASA..HIYO NDIO SHIDA KUBWA KWAKWE
 
Huyu naye ashajifanya yeye ni nabii wa kubashiri na mjuvi wa mambo yote ya kisiasa.
 
Sasa unganisha dots. Mwangalie Polepole kisha kumbuka kwamba Dr.Mvugi wakati ana documents za tume kwenye laptop yake ndo akavamiwa na kuuawa.

Unganisha dots hapo
 
HP alikuwa moto wa kuotea mbali wakati wa vikao vya mbunge la katiba lilikuwa likiendelea Dodoma, nilidhani anauchungu na maoni ya wananchi, kumbe kajamaa na katiba ya wananchi ni vitu viwili tofauti......

Hakuna chochote! Polepole alitumia katiba ya wananchi kama ngazi tu ya kujulikana kwa watanzania, na kweli alijulikana. Lakini unafiki hauwezi kujificha Siku zote! Polepole halisi ndiyo huyu wa sasa na kwa bahati mbaya kwake amejivua nguo mwenyewe! Heshima aliyokuwa amejipatia kwa hila imeyeyuka kama upepo!
Hana jinsi, analazimika kuendelea hivyo hivyo, hata magamba yatammwaga kama maji maana yamegundua hana tena heshima wala ushawishi katika jamii! Kama hawezi hata kujibeba mwenyewe, atawezaje kumbeba mwingine? Polepole kwishney!
 
Huyu jamaa anajimaliza taratibu. Angepunguza kiherehere cha kwenye media angekaa kimya tu km wenzie walivyofanya.
 
Lowasa ni fisadi kwa sababu kaitwa fisadi na Dk Slaa/CHADEMA au Lowasa fisadi kwa sababu unaamini ni fisadi? kama unaamini ni fisadi kwa sababu ya ile orodha ya Mwembeyanga, vipi kuhusu majina mengine 10?
 
Namfananisha Polepole na Zitto, wakati wa BMK alianza kuonekana kama kijana mwenye vision lakini tangu aanze kutumika vision yake imeaanza kupotea.

Katema big G kwa karanga za kuonjeshwa, poor him.
 
HP amejidhalilisha sana, heshima yake imeondoka; Kwa kuwa anajadili mtu badala ya issues. sasa atueleze juu ya hatama ya Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, baada ya CCM anayoipigania, ambayo iliipiga chini rasimu hiyo, kuingia madarakani.
 
Polepole ana mahaba na kujisahau anayoyasema...hatujaona Sitta na Suluhu kutoka ndami ya CCM. Pengine alikuwa na maoninmengine nje ya Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo ndiyo anayosema myalikuwa maoninya wananchi na waliotoka waliikataa!
 
Humphrey ni shidaa na si mcha mungu kamwe huwezi kuwa hivyo anavyofanya ni katili ajabu.Sasa si achukue tu mikoba ya Nape.Ingekuwa rahisi ningekataa kumpa nafasi kwenye vyombo vya habari
 
Polepole ana mahaba na kujisahau anayoyasema...hatujaona Sitta na Suluhu kutoka ndami ya CCM. Pengine alikuwa na maoninmengine nje ya Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo ndiyo anayosema myalikuwa maoninya wananchi na waliotoka waliikataa!

Na Kujificha aka KIFICHO je naye ametoka??Akina Lusinde ,Ummy Mwalimu duh wengi hao yaani mpaka mwisho kuchoka ukimalizia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mchwa.
 
Back
Top Bottom