individually i believe on ZZK.Reason behind chadema was present before ZZK lkn cdm imepata influence kubwa kwa wananchi baada ya ZZK kuingia mjengoni sababu kuna mambo mengi aliyoyafanya ambayo yalimfanya yeye ajulikane zaidi ikiwa pamoja na chama chake.
i suffer and i blame myself why i was born in a stupidity country like Tanzania.Guys are selling drugs,raping,receiving & giving corruption,misuse of public funds but there is no any action taken upon.
Maneno kama haya aliyoongea naibu katibu mkuu wa ccm kupitia luninga ya star tv ktk kipindi cha tuongee asubuhi vyombo vya dola vinatakiwa vichukue hatua mapema.Ili tuweze kujua ukweli wa jambo kama hili uko wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.