CHADEMA imeshatangaza kumtambua Meya wa Arusha?

CHADEMA imeshatangaza kumtambua Meya wa Arusha?

Hatumtambui meya,na Kikao cha jana kikao kilikuwa kinaendeshwa na Diwani wa lemara na sio Meya wa Kichina,tumekuwa tukishiriki shughuli ambazo haziongozwi na mchina
Afadhali umekuja kutoa ubishi maana kuna watu hata wangeambiwa msimamo wa chama wanafikiri ni uongo chama kilishasema meya hatambuliki basi.
 
Wewe unabisha ila hata Lema anajua siku moja mambo yatakuwa hadharani tusubiri muda utasema

Natambua juhudi kubwa zinazofanywa na ccm cha kuiboa chadema na Arusha mipango yenu iki ratibiwa na mkuu wa mkoa ni kuwagombanisha Nanyaro na Lema...kawaambie chadema ni mpango wa Mungu mbinu zote za kishetani zitazidi kumbuliwa...
 

Suala la meya wa arusha liliisha fungwa hapa jamvini, kwa ambao mnaona mmeonewa nendeni mahakamani, si mliisha ambiwa au.


hakifungwi kitu mpaka amengoka subiri kasi yetu mwaka huu, huyo meya ataishi kama digidigi..
 
Apex na manago acheni ushoga na kuwawekea watu maneno>>>ushoga na magamba damdam.
 
Binafsi mimi naona hakuna chama chenye nia thabiti ya kupambana na umaskini uliokithiri wa mtanzania.
 
Hii ID yako umeitengeneza kwa kazi maalumu, kama ile ID ya TUNTEMEKE, amin, amin nakwambia hilo dhumuni lako kamwe halitofanikiwa.

Vyovyote iwavyo ila siku moja mtajua. Kwani kila anayekuja na hoja ya msingi ni masalia ila masalua yatajulukana siku moja. Chadema mnatakiwa mijipange kwa kupkea majibu muda ukifika
 
Afadhali umekuja kutoa ubishi maana kuna watu hata wangeambiwa msimamo wa chama wanafikiri ni uongo chama kilishasema meya hatambuliki basi.

Ni sawa ila inakuwaje diwani asiyemtambua meya abahudhuria kikao kinachoongozwa na meta na anapangiwa kazi na kuifanya na huyo huyo meya wa kichina nachama pamoja na wahusika wankiri,hii ni kumtambua au?
 
Back
Top Bottom