Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

stupid mind, stupid kamati, stupid ccm

so our court& judiciary systems cant perform anymore until ICC?? ney
 
nimekudharau kuliko ulivyowahi kudhauriwa tangu uzaliwe .

Hihihihihihi...nimelia sana leo, yaani umenidharau sili wiiki nzima.....oh kumbe umemdharau nduka? Jina la uongo lisiloishi zaidi yapa JF.
 
The hague + tume ya kidin i = uwongo usiokuwa na akili


hahahaaaaaaa! afadhali na mwenzangu umeona huo upuuzi. unajua km mtu haukuwa makini humu uaweza ukajazwa ujinga sana, amini usiamini kuna watu wengine hawana kazi kabisaaaaa! sijui wanakula bule tu kwa wazazi wao????????????????
 
Jamani tunaomba majina yao basi kwa wale wajuzi wa kupata news? Yule wa mlima wa 'barid'i hayupo kweli?

Yule mwenye jina kama la mkurugenzi wa usalama wa Chadema alibambikiwa kesi ya ugaidi na Mwigulu....Huyo lazima,tena nilishawahi kumtaja kuwa kuna tetesi anauza sembe kwa sana alikuwa anashirikiana na mwenye shule ya St Mary's ya Mbagala,maana walikorofishana ikabidi wamegeane share,jamaa akachukua skuli ya Mbagala.
 
Wanatafuta hela za uchaguzi,Ccm wote wezi,mngeona hekalu la kikwete kule msoga mnaweza msiamini,nyumba ya zuma ni ya kawaida tu kulinganisha na ya kikwete kule msoga.kama rais analimbikizia mali atawezaje jali matatizo chanya ya watanzania?Afya anaenda angaliwa marekani badala ya kuboresha huduma Za afya nyumbani,mjifunze toka afrika kusin,mandela alitibiwa nchini mwake

Wewe sio mwizi toa ushuhuda kabla sijakuweka hadharani
 
Kwa Mbeya atakuwa Marry Mwanjelwa Hilda Ngoye huyu hapana. MWANJELWA ndio trip kibao
 
JF huwa hatuna desturi ya kumung'unya maneno...Mwenye hiyo list atuwekee hapa ili tuchambue pumba na mchele. Btw, List aliyopewa JK ilikuwa na viongozi wengi sana dini...
 
JF huwa hatuna desturi ya kumung'unya maneno...Mwenye hiyo list atuwekee hapa ili tuchambue pumba na mchele. Btw, List aliyopewa JK ilikuwa na viongozi wengi sana dini...
Mbunge + Viti Maalum + Dar
= Getrude Rwakatare
 
Soma kabla hujatoa comments. Ukienda kwenye FINAL ACT OF THE UNITED NATIONS DIPLOMATIC CONFERENCE OF PLENIPOTENTIARIES ON THE ESTABLISHMENT OF AN INTERNATIONAL CRIMINAL COURT DONE AT ROME ON 17 JULY 1998: Recognizing that the international trafficking of illicit drugs is a very serious crime, sometimes destabilizing the political and social and economic order in States.
Hata Trinidad walikuwa na mpango kama huo. https://m.guardian.co.tt/news/2011/05/17/call-take-drug-traffickers-icc
Tusiishi kwa kukariri. Posts kama hizi zikija jaribu kugoogle ili kupata elimu zaidi.
Hivi ICC siku hizi inahukumu na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya? Siamini ninachokisikia.
Hata mimi bado sijaelewa bado hapo!
ICC na Mchungaji hawana uwezo wa kuingilia masuala ya Jinai, this is BS
Sioni ICC inaongiaje apo jamani!
Sasa ICC si ni mahakama ya makosa ya kivita??..sasa kama wamejisalimisha kwa nini majina yasiwekwe hadharani ili na sisi tuwaongezee nguvu katika sala zao za kutubu na kuachana na hiyo biashara!!?
ICC na madawa ya kulevya?
ICC na kesi za unga...!
Hata mimi Nilikuwa najaribu sana kuoanisha ICC na Unga! Hivi na wuza unga hupelekwa huko? Au ni hizi commedy zetu
 
i suffer and i blame myself why i was born in a stupidity country like Tanzania.Guys are selling drugs,raping,receiving & giving corruption,misuse of public funds but there is no any action taken upon.
 
Hakuna lolote hapa: (i) ICC the Hague hawahusiki na wauza madawa ya kulevya. (ii) Tume ya kidini, haina Legal Mandate ya kuwawezesha kushughulika na suala lolote effectively. Kwahiyo kuwaambia wa-Tz kwamba wapo watu wamejisalimisha kwenye Tume ya kidini, kutubu makosa yao ili wasamehe ni uongo uliozidi mipaka ya juu ya uongo, na kwamba endapo hawajisalimishi kwenye Tume ya kidini, majina yao yatapelekwa ICC The Hague pia ni uongo uliopitiliza mipaka ya mwisho ya uongo. (iii) Kama kweli ipo hiyo orodha ya majina ya wauza unga; itolewe kwenye vyombo vya habari, ili wa-Tz waweze kuwafahamu, na wakati huo huo, wafikishwe kwenye vyombo vyetu vya sheria, ili sheria za nchi zichukue mkondo wake.
 
Hao wachache sana kusemwa wakati jamii kubwa ya matajiri na wanasiasa wanalimaliza taifa letu kwa kuuza madawa na kuangamiza kizazi cha vijana wetu. Kwa habari ya kupelekwa ICC naona zingine ni mbwembwe tu. La msingi ni namna gani political will inaweza kuwa na nia thabiti ya kushughulikia ishu kama ile pale.

Ila kama wanasiasa walioko madarakani hawajawa na nia thabiti ya kupambana na janga hili bado hatuwezi kulidhibiti na kuachana na tatizo hili. Walioko madarakani waziangalie sheria zetu upya na waache tabia ya kupokea misaada kutoka matajiri wa mihadarati kuwezesha vyama vyao na ndipo wanakuwa hawana nguvu tena ya kupambana na wauza unga...
 
Mbunge + Viti Maalum + Dar
= Getrude Rwakatare
Huyu anajulikana, mbaya zaidi hata bili ya umeme huwa halipi, karakana bora kuliko zote EA ya mang'ola ameifilisi kisha wakaigeuza kuwa shule... Huyu mwanamama ni fisadi first class...
 
Back
Top Bottom