Habari jamani naomba ushauri na uzoefu kidogo kuhusu biashara ya Bolt na uber.
Changamoto
Faida zake
Gari gani ya kutumia
Maeneo mazuri ya kufanyia biashara.
Nitashukuru sana kwa maoni mtayonipa.
Habari za kazi ndugu zanga nimekuja mbele yenu kuomba nafasi ya kazi upande wa udereva magari madogo na bajaji, pia kazi za uuzaji wa maduka spare za magari nina ujuzi nazo lakini hata uuzaji wa bidhaa zingine naweza pia, lakini pia kazi sales naweza. Kwa yoyote anaeweza nipa direction au...
Habari wakuu ndugu zangu wana JF mimi ni kijana nimekuja kwenu kuomba kama kuna mtu anatoa bajaji ya mkataba kwa jijini Dar es salaam. Napatikana kimara Suka.
Habari wakuu ndugu zangu wana JF mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya chuo kikuu. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna mtu anatoa bajaji ya mkataba kwa mikoa hiyo. Niko tayari kufanya kazi hiyo kwani nina experience nayo nimefanya kipindi nasoma pia hata sasa kwa day worker tu.
Mkataba ni 30000 kwa...
Kitu cha muhimu ni kujiongeza kwenda wizarani au katika ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya ili waweze kukupa nguvu ya kuweza kusikika au kuwafikia watu au vyombo vinavyohusika na mchakato huo lakini jitahidi kujieleza vizu
Nimekuja kwenu kuomba nafasi ya udereva au uber. Kama kuna mtu atakuwa anahitaji dereva anicheck 0672532582 napatikana ubungo. Niko tayari kuanza kazi muda wowote nina uzoefu wa miaka mitano. Pia hata bajaji naendesha.
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
Habari za kazi wana JF?
Kwa wale wenye shida ya kusafirishiwa magari yao kwenda mikoani au hawana uzoefu ma safari ndefu wanahitaji kusaidiwa karibu niwahudumie nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi hiyo bila kusababisha ajali
0672532582
0754837903
Karibu Tukuhudumie
Habari, sasa nimemaliza chuo wana forum natafuta kazi yoyote ya halali kama udereva, kazi ya ofisini pia hata kazi inayohusisha biashara kwa sasa nipo dodoma lakini mkoa wowote naenda kazi ikipatikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.