Natafuta bajaji ya mkataba kwa mikoa ya dodoma na iringa.

Natafuta bajaji ya mkataba kwa mikoa ya dodoma na iringa.

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Habari wakuu ndugu zangu wana JF mimi ni kijana niliyehitimu elimu ya chuo kikuu. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna mtu anatoa bajaji ya mkataba kwa mikoa hiyo. Niko tayari kufanya kazi hiyo kwani nina experience nayo nimefanya kipindi nasoma pia hata sasa kwa day worker tu.
Mkataba ni 30000 kwa siku kwamuda wa mwaka mmoja
30000 x 30 x 12 =10800000
Kama atahitaji kwa 25000 kwa siku itakuwa ni miezi 15
25000 x 30 x 15 =11250000

Naomba ushirikiano wenu. Hata kama upo mikoa mingine tunaweza jadili
0672532582
0754837903
 
Back
Top Bottom