Usafirishaji wa magari madogo kwenda mikoani

Usafirishaji wa magari madogo kwenda mikoani

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Habari za kazi wana JF?
Kwa wale wenye shida ya kusafirishiwa magari yao kwenda mikoani au hawana uzoefu ma safari ndefu wanahitaji kusaidiwa karibu niwahudumie nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi hiyo bila kusababisha ajali
0672532582
0754837903

Karibu Tukuhudumie
 
Heading na content haviendani kamwe.
Unataka kuwasaidia kuwawekea mafuta,unataka kiwasaidia kuosha nagari yao njiani? Unataka kuwasaidia kuendesha magari yao bure au na malipo?
Nani atakaye kuamini akupe uendeshe gari yake mpya huku hakujui vizuri? Una dhamana gani kwa mfano?
 
Back
Top Bottom