Kazi ya ubber taxify au bajaji za mkataba

Kazi ya ubber taxify au bajaji za mkataba

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Wakuu tusaidiane nafasi hizo kama zitatokea tusikae bure mtaani
0672532582 namba
 
Ivi mikataba inakuwaga kwa muda gani kwa bajaji mpaka mkataba wake unaisha
Itategemea na mkataba wa dereva na mmliki wengine huanzia miezi sita mpaka mwaka afu renew Tena.
 
Itategemea na mkataba wa dereva na mmliki wengine huanzia miezi sita mpaka mwaka afu renew Tena.
na ile mikataba ya kuandikishiana baada ya muda inakuwa yake ile nayo inachukua muda gani kwa dereva
 
na ile mikataba ya kuandikishiana baada ya muda inakuwa yake ile nayo inachukua muda gani kwa dereva
Ile inakuwa mwanzo na Mara nyingi wanakaa chini wanasema ukiendesha ukarudisha pesa ya kununulia bajaji na kidogo zaidi, bajaji ni yako, na inaeza chukua miaka 2.5 mpaka 3
 
Back
Top Bottom