Kwa hiyo nyie ndio mnaijua Yanga vizuri kuliko management ya Yanga wanaoshinda na wachezaji,Kocha n.k? Tuwasikilize nyie? Kama kweli ni wanachama wa timu kwenye vikao mnakuwepo kuwasilishamawazo haya au mnashinda mitandaoni kuwapopoa viongozi?
Kifupi sana waafrika tunao uwezo mkubwa tu wa kuwaza,kuunda,kung'amua kama ilivyo huko ulimwenguni..hivyo kama tunao mafundi wa magari,mitambo,madaktari,kompyuta pia tunao wataalamu katika fani wa kuweza kujua devices au bugs zinazowekwa kwenye magari,mitambo,nyumba n.k kama itatokea wahusika...
Karia amefanya mazuri kipindi chake ila ifikie mahali apumzike kwa heshima atakumbukwa akiendelea kung'ang'ania atatoka kwa aibu kama Raisi wa zamani wa CAF issa hayatou au Raisi wa zamani wa FIFA Sepp Blater
Ndoa sio ngumu kihivyo ni jinsi unavyotaka iwe ndivyo itakuwa.Shida dio mwanamke shida ni wewd mume kiongozi wa nyumba.Kijana kabla ya kuoa inabidi upate darasa la mahusiano ya kiutuzima.
Madhara ya kuwa na washabiki wasiojua mpira bali ushabiki maandazi ndiyo haya mara GSM hatakiwi kudhamini timu nyingi,mara Yanga inanunua mechi,au Simba na Yanga zinaua mpira wa nchi sijui huo utafiti wameufanyia wapi? Ndio maana Serikali imeona umuhimu wa waandishi kuwa na elimu ya kiwango...
Hichi kitu kikibwa kuliko wengi wanavyofikiri kwa uchache 1.Serikalo.kuingilia mpira ni kinyume cha taratibu za FIFA 2.Pesa ya wadhamini haifiki kwa walengwa 3.Sheria hazifuatwi bali busara
Sijui utafiti wako ni mkubwa kiasi gani lakini mimi naona kuna sababu nyingi mojawpao ni hizi
1.Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kwa sababu wanaume wengi wanakufa wangali vijana wakiwa kwenye harakati za kutafuta maisha (kufanya kazi za hatari mfano kufukiwa migodini wakiwa wanachimba...
jusi waziri Kitila Mkumbo alitumia neno moja zuri nilipenda kwamba watz tuache kujichapa wenyewe kwa fimbo ndicho ninachokiona kwa watz wengi..kila mara tunajificha kwenye kichaka cha kulaumu bila hata kujaribu kwanza...niulize labda aliyelima kisasa akaenda kuuza nje hata hapa DRC,Kenya ,Comoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.