Hilo tatizo sijawahi kupata, ningekushauri ucheki na customer care vodacom. Mitandao ya bongo iko very biased siku hizi. Mfano: kwa mtu aliyezoea kuweka bundle za 10,000/=, baada ya muda flani wanamzuia kuweka bundle za chini ya 10,000/= (bundles za 2,000/=,5,000/= hutaziona kwenye menu yako...