Recent content by ludende

  1. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nawatafutia wadogo zangu mtu wa kubadilishana vituo vya kazi mmoja yupo maswa na mwingine yupo katavi wanataka kurudi mkoa wa njombe ilikuwa karibu na familia atakae kuwa tayari tuwasiliane kupitia namba hzi hapa hv 0766597333/0712230770(Wote wapo idara ya shule za msingi)
  2. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hi wanajamii forum nawatafutia wadogo zangu watu wa kubadilishana nao mmoja yupo katavi mpanda na mwingine yupo maswa wote ni walimu wa shule za msingi wapo tayari kubadilishana na mtu ambaye yupo kwenye halmashauri ya wilaya ya ludewa,halmashauri ya mji njombe na halmashauri ya wilaya ya njombe...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mulugo kwa waliokosa mkopo

    Muda mwingine minaona wadogo zangu siku moja mkusanyike hata kwenye ofisi za makao makuu ya ccm ilikujua ilani ya ccm ilikuwa ni wanafunzi wengi kukosa mikopo au?Na kujua nini kinaendelea kutoka kwenye vitu mlivyo ahidiwa kwenye uchaguzi wa 2010,maana hawa wenzetu wa ccm ndio waliotufikisha hapa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msisitizo kwa wale wa udsm. The best university eac

    Jamani ukweli watu tunaingia universities kulingana na courses tunazozipenda mm niliamua kuingia ARDHI UNIVERSITY kwa kuwa nilikuwa nahitaji kusoma mipango miji,Nawashangaa wenzangu mnapo kuwa mnabishana tu bila kujali nini ulikifuata chuoni hapo swali langu,course yako ni udsm,udom,sua,mzumbe...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuangalia selected program, swali

    Du hata mm nimekutana na ishu hiyo hiyo anae jua basi atudadafulie
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kubadirishana nae kituo cha kazi maswa

    Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadirishana nae mimi nafanya kazi maswa nahitaji mtu aliye tayari tubadilishane mimi niende njombe,ludewa au mfindi wasiliana nami kwa namba 0766597333 ambaye yupo tayari(walimu wa shule ya msingi)
  7. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadilishana nae aje kasuru(kigoma),Mimi napenda kufanya kazi wilaya ya njombe,mfindi,au ludewa kwa mawasiliano piga 0766597333
  8. L

    JamiiForums Tanzania JWTZ kuajiri vijana waliopitia JKT tu.

    Sherehe imeharibika
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wale wa ARU (Ardhi University)

    Du mzigo wa hapa noma,embu jaribu udom
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa anayo swaiba wangu livingstone lusinde kwa wapigakura wake 2015

    Home About us Committee System Documents Publications Budget Parl Q&A Cabinet President Home » Members »Contributions E-mail this to a friend Printable version...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kazi kubwa anayo swaiba wangu livingstone lusinde kwa wapigakura wake 2015

    Home About us Committee System Documents Publications Budget Parl Q&A Cabinet President Home » Members »Contributions E-mail this to a friend Printable version...
  12. L

    JamiiForums Tanzania UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    Tunakoelekea jamani ni hatari sana
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Vunga vunga,ukiona karibu linakupasukia kaa pembeni uwe mtazamaji kaka wanao kupenda wengi kuliko kwanini ujipe homa ya moyo kwa mtu ambaye hakupi furaha unayo stahili kwenye ndoa
  14. L

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

    Mamiluki ccm wanaongezeka daily,kutoka lusinde sasa majimarefu,walio mpigia kura walilogwa na kama atapita tena basi wananchi watakuwa na akiri kama zake hivi,nisameheni bure jamani inakera :A S cry:
  15. L

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Hii nchi haiongozwi kwa kila mtu,kila kundi kufanya analotaka kila kitu kinafanywa kwa misingi yapamoja kama taifa moja na kwa taratibu zilipo,ifike mahali tune suala la dini halina nafasi unapo zungumzi mambo ya nchi,leo tukisema wakristo tunataka hili,waislamu nao tunataka hili wapani nao...
Back
Top Bottom