Recent content by ludanga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Baraza kuu la Chadema linaundwa na kina nani?

    :thumbdown::thumbup::thumbup::confused:
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa CHADEMA kata ya Misozwe Muheza

    Tuongee ukweli na si kufurahusha mtu au chama
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Pasco nimependa sana ushauri wako kaz kwake kupoteza au kulinda heshima yake kwa staili atakayoitumia kuondokea. Namshauri kufanyia kazi ushauri wako kwan hata atoe siri zote hazitakuwa sababu ya kumrudisha sana sana atazidisha uadui na wasio na uelewa hawatamuelewa kabisaaaaa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

    Hawa wenzetu wanadhani wana akili ya kutuendesha tumewashtukia na namshauri mh. Raisi kuzidi kukaza uzi wasituburuze
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

    Tuwe makini sana na mambo haya ndugu zangu amani ya Tanzania wengi wanaikilia ss hawa wachache wasituharibie tukawa kama libya na kwingineko ambako amani ilikwishatoweka na kwenda zake.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watu 3 wamefariki dunia katika ajali mbaya mkoani Mbeya

    Inna lilal wa inna ilaih rajiun
Back
Top Bottom