-Tent unaweza ndoa funga msikitini baada ya swala ya faradhi.
Dufu ondoa mkuu, hakuna dalili inayosupport ( na kama itakuwepo basi inafaa iwepo kwa wanawake tu)
Dua ya ndoa hatuna kitu kama hicho
Funga ndoa msikitini, chakula kinapikwa na kuwa packed kwenye "take away" paper plates kinagawiwa...
Kwa mujibu wa uislamu, mtume au nabii ni muonyaji au mhadhiri aliyetumwa na Mwenyezi mungu kwenda jamii fulani ya watu ila kuwaonya, kuwafundisha na kuwakumbusha juu ya Mungu mmoja aliyewaumba na ambaye wanapaswa kumuabudu. Mitume/nabii walikuwa ni kiigizo chema kwa jamii zao kimatendo na wenye...
Mbeya to arusha na rav4 kilitime, niliweka mafuta jumla ya 240k, lita 83. Nimefika arusha gauge ipo almost (near to) ½. Kwa magari yetu haya ya kizamani naona ni decent consumption. Engine 1zz
Uzi mzuri, mimi pia ni miongoni mwa niliodhani huu mchezo ni wa starehe, kumbe sikujua mpaka pale nilipoamua kuwafuatilia kiundani. Hamilton anaelezea kuwa uzito wa dereva ni kitu muhimu sana kwenye race, na unakuwa calculated. Usizidi wala usipungue. Pia wanafanya sana mazoezi ya shingo, misuli...
Usiwe na wasiwasi mkuu, mwenyezi mungu hutoa kwa wakati. Mimi nilipata mtoto wa kwanza nikiwa chuo mwaka wa mwisho, kwa bahati nzuri au mbaya wife (by that time she was my girlfriend tu) alijifungua kwa operation and during operation, dokta akagundua kuwa ana uvimbe kwenye mirija ya uzazi and...
Aliomba apitie kwangu akae siku mbili tatu then aunganishe safari kuelekea kwao. Cha ajabu akaja full mkoko na debe la viazi vitamu plus kubadilisha gia angani kuwa atakaa likizo nzima.
Aiseeee niligeuka mbogo nikamwambia asubuhi nikiamka kwenda kazini tunaamka wote nakuacha stendi. Alidhani...
Wakuu, wiki ijayo natarajia kuwa na safari ya dar- arusha, itakuwa ni mara yangu ya kwanza kupita njia hii. Naomba tips za hapa na pale na za kiusalama kuhusu hii njia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.