HEKIMA YA MASKINI HAISIKILIZWI.
Jioni ya leo nikiwa natazama video kuhusu biashara na mafanikio, baada ya kutazama video kadhaa hatimaye nilikutana na video ambayo mfanyabiashara Mo Dewji alikuwa anahojiwa. Kilichotokea ni kuwa nilikuwa makini zaidi kumsikiliza huyu bwana kiasi ambacho...
Kuhusu quick / fast thinking, slow thinking, critical thinking na partial thinking hizi ni aina za kufikiri. Kwahiyo mtu yoyote anaweza kufikiri katika aina hizo zote.
Kwa namna moja au nyingine kila mtu kwa wakati fulani hufikiri kwa haraka (thinking fast) na wakati mwingine pole pole ( thinking slow ). Sio sahihi kuwa critical thinker afikiri siasa, uongozi, sheria , benki nk Huo ni mtazamo uliozoeleka sana. Critical thinking inahusisha mambo yote katika maisha.
FIKRA TUNDUIZI 1.
Nini maana ya fikra tunduizi ? ( critical thinking) Je kuwa critical thinker ni lazima ujadili masuala ya siasa? Uchumi ? au mambo ya kisheria ?
LENGO LANGU NI KUKUFIKIRISHA KUHUSU FIKRA PEVU.
Moja ya msamiati ambao umeenea zama hizi za taarifa ni huu unaohusiana na kuwa na...
UHURU WA KUFUNGA MLANGO.
Ndugu Paul ( siyo jina halisi) baada ya kutumikia kifungo cha miaka kumi na saba jela kwa kosa la kumuua mchumba wake bila kutarajia siku alipomfumania, alipotoka jela alikwenda moja kwa moja ofisini kwa Erick kuzungumza naye kwani aliamini ndiye mtu pekee wa kumsaidia (...
Mwalimu mmoja kutoka Minnesota, aliwaambia wanafunzi wake waandike majina ya wanafunzi wenzao ( classmate) na waache nafasi kati ya jina moja na jina jingine. Kisha akawaelekeza waandike vitu vizuri kumhusu mhusika mwenye hilo jina ( postitve things about a classmate).
Baada ya hapo akakusanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.