Recent content by luckitu

  1. L

    JamiiForums Tanzania VACANCY (FUNDI za ALUMINIUM -MADARISHA)

    wawe na sifa gani? hasa kielimu?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Best paying company in tanzania

    Jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye. Naomba mnisaidie kwa ambaye ana information hata ndigo itanisaidia katika research yangu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mugabe mahututi Singapore?

    Wakuu kukaribia kifo kuna maana gani??? Yaani ndio kanumba anazikwa leo hatujajufunza??? Hakuna aliye mbali na kifo hata mmoja
  4. L

    JamiiForums Tanzania Inaniwia ngumu kusema Mungu ambariki Lema.....

    Utasema (god bless lema)*2 :)
  5. L

    JamiiForums Tanzania Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Any update kwa waliofanya interview NSSF?

    ni kweli nasikia kuna baadhi wameshaitwa kazini tayari
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TRA

    washachukua wenyewe hapo
Back
Top Bottom