Any update kwa waliofanya interview NSSF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Any update kwa waliofanya interview NSSF?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Naitwa Nani, Apr 10, 2012.

 1. N

  Naitwa Nani Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kuuliza kwa mtu yeyote aliyefanya Interview NSSF!!
  Waliwaita watu wote ambao walikuwa wanawahitaji kwa second Interview au bado wataita tena??
   
 2. a

  azou New Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeshafanya second intrvw wiki 2 zilizopita tunasubiri kuanza kazi wk ijayo.
   
 3. l

  luckitu Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni kweli nasikia kuna baadhi wameshaitwa kazini tayari
   
 4. l

  luckitu Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ila nasikia wanaendelea kupigwa simu kwa hiyo kama ni bahati yako unaweza kuitwa
   
 5. N

  Naitwa Nani Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa Taarifa!! Be blessed!!
   
 6. N

  Naitwa Nani Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa Wadau nimewasoma!!
   
 7. w

  wabarakuu2 New Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  do hawajaanza kuita kwa waliofanya second interview.hesabu wiki tatu toka interview ndipo utakapojua kama umechaguliwa au la
   
Loading...