Recent content by Luciouskillo

  1. L

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Serikali yetu imefulia what a joke. Kama kipindupindu kupambana nacho na Dk.Magufuli ana nguvu za kuifanya siku yoyote iwe bank holiday so why not do it sooner than later. It's not rocket science
  2. L

    Mechi Kabambe Za Tarehe Barani Afrika 13/11/2015

    Wanaopamba leo kuyoka Afrika Mashariki Kenya vs Cape Verde Libya vs Rwanda
  3. L

    Mechi Kabambe Za Tarehe 13/11/2015

    Kwa uchambuzi zaidi basi usisite kutembelea blog ya luciouskillo.blogspot.com
  4. L

    Mkopo nimepewa 25000 (Elfu ishirini na Tano)

    Pole sana Mtanzania mwenzangu kama hii ni ya kweli basi inasikitisha beyond measures the government has failed you missarably. Ushauri uchunguze wengine wamepata nini na mjaribu kufanya maandamano ya kupinga kilichotokea. Mnaweza kufanya hivyo kwa kujaribu kupata msaada kutoka kwa wanafunzi...
  5. L

    VIDEO: Rais Magufuli akizungumza Kiingereza safi

    Mimi Mpinzani wa CCM ila niseme Watanzania wengi wetu bado hatujatambua thamani ya vitu vyetu kama lugha ya kiswahili. Ni lugha nzuri sana na kuna filamu nyingi tu za Kimarekani unakuta wametilia neno la kiswahili na nchi nyingi zinazotuzunguruka wanaongea kiswahili na google kuna lugha ya...
  6. L

    Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Kwa mimi ninavyojua wanasiasa wa nchi zilizoendelea wakitoa ahadi kama hii hutimizwa ila inapangiwa mkakati kama elimu bure chama kilichoshinda 2015 hiyo system ingeanza labda 2018 baada ya kujipanga na kuwekea bajeti ya kutosha
Back
Top Bottom