Recent content by LUCIFER

  1. LUCIFER

    Mbunge kama huyu, ukiwaita baadhi ya wabunge wetu ni vilaza, utakuwa umewakosea?

    Ameshindwa kutambua matumizi ya question mark...ila pele kwenye kutoa huduma sijui ulikuwa unamaanisha nini?
  2. LUCIFER

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Pole Paskali sasa unatakiwa unyooke, jamaa wanataka wakunyooshe.
  3. LUCIFER

    FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Umetumia muda gani kuandaa na kuandika utetezi huu? Bashite Bwana we tulia tuu Roma kasema wataongea na media kesho, hofu ya nini?
  4. LUCIFER

    Kutoka Kanisa Ufufuo na Uzima: Gwajima awazungumzia Diamond, Halima Mdee kumtusi Spika na Utekaji

    We kinawari wa Baharini kule... Hahaha dogo watch out Lucifer ntakutembelea
  5. LUCIFER

    Roma na Wenzako, Msithubutu kuwasaliti Wapiga Yowe Wenu!!

    Sure, otherwise next watpotea kimya kimya and no one will question
  6. LUCIFER

    TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    Hahahaha mkuu umekosea kidogo ni 'wattakunu l' jibaru yalaitani kuntuturaba '
  7. LUCIFER

    Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

    Anza kuchinja mmoja mmoja wataisha wote sio kwako tuu mtaa mzima
  8. LUCIFER

    Hili la Nape kupita kwenye migongo sio udhalilishaji kwa Mama zetu?

    Mnavyowadhalilisha mama zenu kwa kutembea na mi ndoo ya maji mpaka km 15. Si udhalilishaji?
  9. LUCIFER

    RC DSM anatafuta kiki at all cost.

    Sababu mi nakijua kwa ufasaha si mbaya nikimcheka asiye kijua
  10. LUCIFER

    Mapokezi ya Nape hayatofautiani na yale aliyopewa Marehemu Deo Filikunjombe

    Tunaye mwona anawakilisha ni Mbowe au Nape? BOLD HEAD
  11. LUCIFER

    VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Hata ulimboka ilikuwa hivyo hivyo.. By the way mbona makonda sikumuona kwenda kuwapa pole pale oysterbay
  12. LUCIFER

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Kanunue wachafu. Com
  13. LUCIFER

    Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Nilipowagundua wote Zero walipoamua kutumia picha ya nyerere kwenye cover
Back
Top Bottom