Recent content by luche1

  1. luche1

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Nimepata kitu hapa chakuanzia
  2. luche1

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Nimepata kitu hapa chakuanzia
  3. luche1

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Umenikumbusha kuna jamaa nilikuwa namdai kama laki nne alinitamkia maneno hayo hayo na kunipa hosia kama atakufa ndugu zake watanilipa, nikamweleza mzee wake asije kujiua kisha deni langu nashukuru mungu alinilipa japo kidogo kidogo sana akamaliza
  4. luche1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya Break up!

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  5. luche1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya kukaribishana ugenini tupeane changamoto zilizokutokea.

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mkuu punguza
  6. luche1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya kukaribishana ugenini tupeane changamoto zilizokutokea.

    Siku napokekewa kazini nilifikia kwa boss wangu ilikuwa usiku nikakalibishwa ndani msosi ukaletwa tukala kisha muda wa kulala ukawadia nikaonyeshwa chumba cha kulala kufika chumbani ndilo jiko hutumika kuna magunia ya mpunga ndoo za maji vyombo mtungi wa maji ya kunywa full makorokocho,mchana...
  7. luche1

    JamiiForums Tanzania Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

    Nilihitaji kufahamu hata Mimi mwezi ujao nitapita hiyo barabara kuelekea mpimbwe
  8. luche1

    JamiiForums Tanzania Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

    Hii ya kupita sitarike, kibaoni,usevya,mbede hadi maji moto kuna lami mkuu
  9. luche1

    JamiiForums Tanzania Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

    Una akili sana wewe, siku nafika sumbawanga sikuamini nilichokikuta mji mzuri kuliko nilivyokuwa nikiufikilia
  10. luche1

    JamiiForums Tanzania Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

    Mkuu barabara mbaya kule kuanzia tabora kwenda mpanda mjini kisha kuelekea mpimbwe huko vumbi tupu na mashimo ovyo na kuanzia kibaoni kwao na pinda lami kiasi kisha vumbi
  11. luche1

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Bro huu sio muda wa lawama tuwaombeeni wenzetu wapate usalama na mikono ya mungu ipate kuwasimamia siku katika hali waliyonayo
  12. luche1

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Poleni ndugu zangu wakelewe na wakara
Back
Top Bottom