Recent content by Lucas mwashamba

  1. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Mahangaiko yameanza

    Kiongozi nasoma comment ti
  2. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mi mbona situmii VPN na nipo jf
  3. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Tarehe 8/9/2025 siku ya ukombozi wa Tanganyika Huru

    Ndugu zangu watanzania, Tarehe 8/9/2025 ndo WATANGANYIKA tunaanza harakati za ukombozi huru wa taifa letu. Kama wewe kijana mpenda nchi yako tukutane mahakamani siku hiyo kwenda kumpa sapoti na kumpigania shujaa wetu, Ni siku muhimu sana kwetu kwenda kuiandika historia mpya ya kumuunga mkono...
  4. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Faida za elimu bure awamu ya sita

    Ndugu zangu watanzania, Leo sina maneno mengi ya kuongea nanyi Bali nimewaletea tu matokeo na FAIDA ya ELIMU bule katika awamu ya sita Hakika mama katufikia watanzania na tuna mpenda na tunatamba nae na ELIMU tunasoma bule na hakuna necta la Saba wala kidato Cha pili SI kwenda tu mbele kwa mbele
  5. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Dada yake James delicious upo
  6. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Jamaa wanatuletea maigizo eti MSG katoa b 10 huo ubavu anatoa wapi
  7. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Muda SI mrefu Kila mtu atatubu kwake na wengine hadi Sasa Wana jiandaa kwa MAISHA ya uhamishoni
  8. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kwa CCM kufanya maagizo ya kukusanya bilioni 86 ndani ya usiku mmoja ili kuuhadaa ulimwengu kuwa wanakubalika na wananchi

    Ndugu zangu watanzania, Ni kweli watanzania wote kwa pamoja, tumeona sinema iliyokuwa ikiigizwa Jana na kweli mwandaaji wa sinema alipatia namna ya kuandaa sinema yake na kuwa andaa vyema waigizaji wake na ukweli sinema ilikuwa ni ya kuvutia Uhuni na maigizo yaliyo kithili mithiri ya sungura...
  9. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji tajiri namba moja Tanganyika akifuatiwa na King Maker

    Edha nahd utajiri wameo muwekea hapo haupo hata nusu ya utajiri wake embu rejea ununuzi wa hisa za bamburi cement ndo utaelewa
  10. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

    Mi kwetu nguruka kigoma jilani yangu ni ndugu KAILIMA
  11. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

    Ndugu zangu watanzania Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa Amana za wanachama. Ndugu zangu saccos yetu imekuwa ikipata fedha ya ufadhiri kwa ajili ya kujiendesha...
  12. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwa MAMA

    Ndugu zangu watanzania, Mama ni mama lakini si mama wakambo mana mama wa kambo yupo kwa ajili ya maslahi ya wanawe na ndugu zake wakalibu lakini ni nadra mama wa kambo kujali watoto wa mumewe ikiwa mumewe hayupo hai Nilijitahidi kumtetea mama wa kambo nyumbani na kuwa ambia ndugu zangu kuwa...
  13. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, hoja za Polepole zinajibika?

    Pole pole yupo kwa maslahi ya watanzania wote huyu yupo kutetea tumbo lake Muda mwingine tusimame na ukweli nadhani we mwenyewe unanifahamu jinsi Gani nimevyokuwa nakipambania chama humu jukwaani lakini ndo hivyo nimesalitiwa na wajumbe na chama kwa ujumla
  14. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, hoja za Polepole zinajibika?

    Nimebubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kusikia eti ukiona sura ya polepole utashindwa kunywa chai nikuulize Mzee wangu kwa kauli hii hivi UNA MARINDA KWELI?
Back
Top Bottom