Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Ndugu zangu watanzania

Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa Amana za wanachama

Ndugu zangu saccos yetu imekuwa ikipata fedha ya ufadhiri kwa ajili ya kujiendesha na kusaidia jamii lakini pesa hizo za msaada zinatumika vibaya na viongozi wa saccos kwa kujinufaisha wao na familia zao huku wa walengwa wa msaada huo wakiachwa patupu bila ya msaada wowote

Viongozi wamekuwa wakitutumia sisi katika kuwapamba na kuwasafisha kuwa zile pesa ya miradi ya saccos pamoja Kodi za miradi ya saccos inatumika vyema huku tukipewa pesa ya kujikimu siku mbili tatu tukifurahi na kujiona tunapendwa na viongozi

Tuliahidiwa kunguni wengi tutakuwa viongozi wa saccos lakini Leo hii tumetupwa na kukanyagiwa mbali na wanaojiona ndo Wana saccos na wamiliki wa saccos Tena mbaya zaidi mwwnyekiti kaleta nduguze waje kuwa viongozi ndani ya saccos wakati kwao Wana saccos yao ambayo ni kuwa mtu wa huku hawezi kwenda gombea kwenye saccos ya kwao

Naongea hivi kwa uchungu mana uchaguzi wetu wa saccos haukuwa halali kabisa ila tu ndo hivyo viongozi washajihakikishia uongozi wao na ndugu,jamaa na marafiki zao sie wengine tumetumika kama toilet paper na Sasa hatuna thamani ya kuongeza saccos

Lakini licha ya haya yote bado kunguni wenzangu wanaandamwa na NJAA wataendelea kutumika sababu ya NJAA yao na Kisha baada ya uchaguzi wa saccos watakuwa wanaitwa kwenye shughuri za mwenye saccos mana anapenda shughuri huyo

Ndugu zangu tupendane SI ni wamoja ukweli najutia na kujilaumu kwa kujipa ukunguni ambao nilizani utanitoa kwenye Lindi la umaskini au kuteuliwa kuwa mkuu wa woliya ya saccos moja katika woliya zetu za saccos

Mungu mbariki shujaa wetu anayeteseka kwa ajili yetu vijana wa hovyo hovyo na Imani Kila mtu ana mama yake mana mama wa mwenzio hawezi kuwa mama
Nilisha kwambia na nakwambia tena ,tunza ayo machozi utakua na kazi nayo badae .Sasa ukiyatumia mda huu ,inakua matumizi mabaya ya machozi
 
Aione pacha Lucas Mwashambwa, a.k.a chawa pro max.
 
7A454D24-274A-4F66-9878-80B540C8C8CD.jpeg
 
Na bado baada ya uchaguzi wa ccm watakuzima huo uchawa wako ngoja
 
Pole sana wajumbe sio watu wazuri...sasa utaanza amini na kuamini kikoba cha jirani wanaodai mabadiliko katika jamii nzima ili vikoba viwanufaishe wanajamii wote sio familia zao.
Hata yule bwana Haraka katika Sacos yenu alipotoka na kudai hisa zake kwa misingi mikopo kwa wanakikundi na uongozi wa sakosi haupo shirikishi ulionekana kumpiga ukiona kuna bahasha unapewa bila kujua mwisho wa ubaya aibu.

Nakushauri njoo tuanze kudai mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa vikoba na sakosi kwani umoja ni nguvu.
 
Mungu hakupi usichokistahili so hiyo ndio kazi ya mikono yako usitake kuridhika na hako za watu watu walikuwa wanalia wewe ulikuwa unafurahia sasa leo umeonyeshwa rangi kenge mmoja na bado
 
Mwashamba vs Mwashambwa,

Ndugu wagombanapo................
 
Kama hujadukuliwa basi nasemaje - "Viva wajumbe viva vivaaa".

Karibu kwenye ulimwengu wa kububujikwa machozi. Tulikwambia kama haupo kwenye mifumo ya sacoos tuliza kende zako ulee watoto wako, sio kujitoa ufahamu kama mburukenge hahahaaa
Lucas huyu ni mwingine sio yule muoshambwa
 
Mambo ya kububujika machozo:
Kama huwezi kujitegemea utabubujika sana machozi na hali yako itabaki vilevile
 
Back
Top Bottom