Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,416
- 18,443
Kila nyumbaMaBango ya captain ya bandikwe kwenye kila nguzo ya ya umeme!
Kila nyumbaMaBango ya captain ya bandikwe kwenye kila nguzo ya ya umeme!
Kala buyu, abweke atueleze kwanini maharagwe ni mboga ya matundaUmemuona lucas mwashambwa?
Amehamia chooni leo, tumbo la kuhara limemkamataUmemuona lucas mwashambwa?
VibayaAmehamia chooni leo, tumbo la kuhara limemkamata
Huyu mpaka apate vpnUmemuona lucas mwashambwa?
Nchi itakuwa ishakombolewaHuyu mpaka apate vpn
Wasichojua ni kuwa Wananchi tumechoshwa na Ufisadi wao na tabia zao za kututeka, kutuua na kutufungulia kesi za uongo.📌🔨Acha tu bwashee Mshana Jr naona wameenda kumchukua Kanali Mlunga wakidhani akiongea watu munkari utashuka kwa sababu alikuwa ADC wa Magu
Wasichojua ni kuwa Wananchi tumechoshwa na Ufisadi wao na tabia zao za kututeka, kutuua na kutufungulia kesi za uongo.
Nchi itakuwa ishakombolewa
Leo watu watalal mtandaoniKabisa
Kiongozi nasoma comment tiHuyu mpaka apate vpn