Recent content by lubano jr

  1. lubano jr

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Katika watu ambao nilikua nachukia nikisikia MUUNGANO uvunjwe ni Mimi lakini kwa haya wanayoyafanya WANZAZIBAR kwa Sasa sitaki kusikia MUUNGANO Tena Bora kila mtu awe kivyake wapemba warudi kwao
  2. lubano jr

    Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Ushauri wangu tafuta michepuko mkuu
  3. lubano jr

    Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

    Kikubwa tunachoumia sisi Simba miaka 4 tumevuna point 29 wenzetu miaka 2 wanapoint 31 hizi dharau
  4. lubano jr

    Mimi sigomi, siandamani, na nitafungua biashara yangu kama kawaida hiyo tarehe 15/5/2023

    wakigoma wenye maduka sisi wa machinga tuendelee kuuza kama kawaida tutumie fursa maana wakati sisi tunalia wao walichelewa kulia kupokezana
  5. lubano jr

    Nimeachwa, lakini naona kama nimepunguziwa mzigo

    yaani toka niachane na ile pisi kiukweli hata mimi najiona mwepesi sasa
  6. lubano jr

    Tigo bustisha wametuibia watanzania

    Tigo kupitia huduma yao ya BUSTISHA leo siku ya 3 imetukata wateja wake mara mbili ya kiasi walichotakiwa kurudishiwa na wateja lakini mpaka sasa tunahangaika kuwapigia simu wanachojibi ni majibu rahisi kuwa pesa utarudishwa ndani ya masaa 24 na sasa ni zaidi ya masaa 72 bila pesa kurejea...
  7. lubano jr

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    kikubwa utelezi mkuu mashaka ya romance oa mke
  8. lubano jr

    Mama wa Miaka 46 ashtakiwa na TRA kwa kosa la kununua bidhaa bila kudai Risiti

    mie nimepeleka tv kwa fundi narudi nayo polisi wamenufaika wanataka lisiti ya tv
  9. lubano jr

    IGP Wambura, RPC wa Dar es Salaam, OCD wa Kinondoni na Mkuu wa Police Kawe pokeeni hizi Updates za Mfanyabiashara Katili Soko la Kawe Bwana Cherehani

    kuna sheria inasema mtuhumiwa akikimbia basi ndugu wakamatwe ili kushinikiza mtuhumiwa kujisalimisha?
  10. lubano jr

    Bodi ya michezo ya kubahatisha mpo wapi?

    MERIDIAN ni uozo mtupu yaani kampuni ya hovyo sijapata kuona yaani hadi wasafi bet imeanza juzi tu inawazidi kwa huduma bora
  11. lubano jr

    Meridian bet wizi mtupu kwa wateja wake

    huduma kwa wateja ni mbovu baada ya kukipa msaada wanakuzungisha ili warambe pesa za wateja na bodi ya michezo ya kubahatisha hawana kitengo cha malalamiko kwa wateja ni kama wanashiriki kuwaibia wateja
  12. lubano jr

    Bodi ya michezo ya kubahatisha mpo wapi?

    wizi huu kampuni ya MERIDIAN BET na mpo kimya wateja wanaibiwa pesa zao
  13. lubano jr

    Bodi ya michezo ya kubahatisha mpo wapi?

    Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ni chombo cha udhibiti wa michezo ya kubahatisha ambacho kilianzishwa chini ya Sheria ya Michezo ya Kubahatisha Sura. 41 na kuanza kutumika tarehe 1 Julai 2003. Ina jukumu la kusimamia, kufuatilia na kudhibiti uendeshaji wa shughuli za michezo ya...
  14. lubano jr

    Meridian bet wizi mtupu kwa wateja wake

    Kampuni ya ubashiri ya meridian wanatengeneza mazingira ya wizi kwa wateja wao wanazuia akaunti za wateja kutoa pesa ukipiga huduma kwa wateja wanatoa sababu zisizo eleweka na kukupa masaa 24 hewa ukipiga tena hawapokei na namba yao ya huduma kwa wateja inatumia gharama kwa mteja mwenyewefano...
Back
Top Bottom