Recent content by lubaga

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hilo nakupongeza Sitta!

    Kutoa motisha kwa watumishi wa wizara ya afrika mashariki ni busara sana, Lakini mdogo wako kikwete hatambui umuhimu huo, anawanyayasa waalimu, madaktari, wazee wa afrika mashariki na wengine wengi. Kitendo cha sita kuwatambua watumishi wa wizara yake ni tafsiri tosha kwa jakaya kikweta...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

    watu wanapenda kutizama kinyesi ,hakuna jambo lisilo weza kutafutiwa ufumbuzi ,watanzania tusiwa wavivu wa kufikiri na kuthubutu kukabiliana na changamoto
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Hata mimi nimekaa sebuleni hadi saa tano usiku sikuona hotuba ya huyo anayejulikana kwa jina maarufu DHAIFU .Lakini hata hivyo hotuba yake kama michuzi alivyoiposti haina afya kabisa ina mapungufu mengi hajajibu hoja za madaktari na hoja ya wananchi kupitia hoja ya madaktari juu ya uboreshaji wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Dr ulimboka kwa Imani yangu katika Mungu ninety makini ten a Mungu aliyehai assiyeala usingizi mailing nakuombea upone haraka ameni .lakini hata ukifa damu yako niondoleo la utawala wa kidnaping wa serikali ya CCM.nafarijika kusema mane no ya hekima kwamba'tunapohisi KUFA natufanye hivyo kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mawaziri 7 wabunge 70 wa CCM kujiunga CHADEMA!

    naunga mkono hoja mkuu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kitine: Kuna waziri ameiba fedha za nchi huko nje ametia mfukoni mwake kutafutia urais

    Wahenga wansema "hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu" Dr Kitine ameibua mjadala na majadala huu una mgusa moja kwa moja membe ,sasa kama membe anaguswa na mjadala huu ajitokeze kupinga ama kukubali .Membe njoo ujibu tuhuma hizi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Kigwangalla ,usomi wako nautilia shaka ,haujitafsri kama musomi ,hoja yako haiana thamani bora hoja ya mwernda wazimu na kichaa angeliposti mawazo yake humu yangalikuwa na thamani kuliko uchafu wako uliouleta hapa.shetani akutangulie kwenda kuzimu ukaishi huko
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa chadema na laana walioitaka.

    Nimepokea ushauri wako mzalendo tupo pamoja nitafanya hivyo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa chadema na laana walioitaka.

    Kichwa cha habari kinawatia hasira wazalendo, wanamapainduzi ,wanaotaka kuikomboa tanzania ,lakini mafisadi kichwa cha habari hiki kinawavuta na kufurahia wakiamini kuwa makamanda wanaharibikiwa kumbe tunamvuta fisadi akutane na nondo kama hii ni kwa makusudi kuwavuta watu wapate elimu kupitia...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Prof. I. Lipumba: Vyama Vya Upinzani Kuaandaa Maadamano Nchi Nzima Kumshinikiza JK Kuchukua Hatua.

    maandamano hayo yangepewa jina la maandamano ya wananchi nchi nzima badala ya vyama vya upinzani naona mimi kwa mtazamo wangu pana dosari kubwa .nashauri yaitishwe maandamano ya wananchi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa chadema na laana walioitaka.

    watanzania wote watazimia kuona uovu mkubwa watabaki mafisadi wanashangaa,kama kweli leo uovu wao unafichuka angali wapo madarakani piga picha je watakapo ingia makamanda uovu huo utaonekenaje ,kweli inatisha na itatisha sana nakwambi anarudia watanzania watazimia kuona madudu hayo.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Songea global network yazinduriwa na mkuu wa mkoa wa ruvuma said mwambungu

    hii ndiyo nin ten jamani?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, hii ni kweli?

    vyovyote vile na iwe kama zito katumwa sisi haituhusu awe ametumwa ama hakutumwa lakini hoja inamashiko kwa taifa la tanzania kwani mawaziri sio wezi?.wewe umeleta uchawi wako hilo gazeti ulisoma mwenyewe taja gazeti la
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa chadema na laana walioitaka.

    Nilikuwa na tafuta gadhabu za wanamapinduzi iliwaweze kusoma ,waijadili ,watoe hoja zao na kuendeleza na jadi yetu ya kuwa elimisha watu wengine ambao hawana fursa hii ya kuingia humu mjamvini tunakutana nao kwenye vijiwe ,kweli kichwa cha habari nimefanya makusudi kuwa mtego ili hata wanaccm...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Habari Mbaya kwa Watu Wote kama ilivyoandikwa na 'Raia Fulani'

    Usiwe mchoyo ,kuna watu hawana access ya kuingia humu nayo ni jamii inastahili kupata hiki ambacho unaona waandishi kama wa vivu usiwe na mawazo membamba huo ni ubinafsi .
Back
Top Bottom