Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,958
- 306
Mbunge anapotoa ahadi mara nyingi anajua ziko within his/her ability....najua hata huyo Tundu Lissu aliahidi akijua uwezekano wa kutekeleza ahadi upo sidhani kama alitoa in case....
Pia chadema wanafungu la kuchimba visima nchi nzima nadhani hata huko kwa Tundu Lissu watafikiwa,tusiwakatishe tamaa wapiga kura wake!
Bado nakubali chadema kuna wabunge wabunifu...Msigwa kuna mambo amefanya Iringa bila support ya serikali.
By the way,wabunge wa chadema wanapiga kazi ila support ya wananchi is surely unconvincing....tumewatelekeza wawakilishi wetu,tuungane kama taifa kwani wao wanapigania taifa kwanza,yaani kubadili mfumo wa udhalimu nchini.