Recent content by LOYAL TZN

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor

    Umetulia ila bado kijani fuatilia ahadi za wagombea
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lowasa amzidi JK maadhimisho ya maulid, ahudhuria jk akwepa

    Enyi ndugu zangu jaribuni kutumia lugha nzuri kwani huu ni mtandao wa jamii nzima na jamii hii yetu kila mtu ana uhuru wa kuabudu bila ya kubughuziwa au kumbughuzi mwenzie nakuombeni sana ndugu zangu, narudia tena tutumie lugha fasaha na pia moderator naomba ulitazame hili kama lugha sii nzuri...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wakitajiwa maovu yao huwa wakali (wanao kishabikia)?

    Mada ni moja tu uzalendo acheni mambo ya chama gani imefika wakati tunahitaji mtu na sii chama kwani huko cdm kuna waovu wengi tu waliojificha ccm vilevile cuf vilevile tlp kama kawa nccr njia moja nakadhalika nakadhalika halafu unategemea nini kama mtu sii mzalendo ni lazima umuweke...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

    Hapana ila wote wanategemeana tuwaombe mwenyenzi mungu awape busara kuu juu ya ili
  5. L

    JamiiForums Tanzania CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

    [FONT=comic sans ms][B][SIZE=4][COLOR=#40E0D0]CHANGE IS NOW ECONOMICALLY SOCIALLY FREEDOMICALLY
  6. L

    JamiiForums Tanzania CV ya Mheshimiwa Waziri wa Afya anayesubiri kujiuzuru hivi karibuni

    Tatizo hapa ni uzalendo hawa waganga wetu wamekubali kupokea pesa ndogo na kusaidia watanzania wenzao ili viongozi wetu wakiongozwa na mkuu wa nchi uzalendo umewashinda ,leo kuna watanzania wengi tu walioshindwa kuvumilia na kwenda ughaibuni kufanya kazi hiyo kwa pesa nyingi ila si wasifii kwani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nape vs Lowassa

    Lowasa ana haki ya kutetewa japo ni mfanyabiashara nape shida kubwa aliyonayo ni kupenda kuongea na vyombo vya habari kwasababu kama kuna shida nyumbani kwako mnaitana na kuzungumza kimya kimya na kurekebishana ili muweze kuendelea na kama wakikiua chama chao hiyo damu itawaandama siku zao...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vijana CHADEMA wamshukia Lowassa

    Wasifu wa heche kwanza na je amewashirikisha wakubwa zake akina dr. Na mbowe?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    kilo moja
Back
Top Bottom