Si ajabu watu wenye mtazamo wa kimaslahi ktk siasa kuona kuwa hawa vijana wanatumiwa na kupewa fedha za kuendesha shughuri zao hizi. Ni vyema sasa kila mmoja wetu asiwe mbashiri na mkisiaji wa nini 4u wanachofanya kuwafatilia na kujua habari zao unaweza kuingia katika web site zao na ukapata...
Ni vijana waliojitambua na kujua ukweli unaofichwa na propaganda za kisiasa ambazo siku zote zimekuwa zikiligharimu taifa hili na kufikia hatua ya kupata kiongozi ambaye hana uwezo wa kuamua maamuzi magumu yanayo husu maslahi ya taifa letu na mwenye kutuletea matumani mapya katika mustakbali wa...
Atatuua tu huyu. Na yeye tumpe hela tena ah bora mi niondoke ktk nchi hii ishakuwa ya Rwegamalila na singa tutashindwa fanya kazi nyingine sasa na huu si uzalendo. Wao wamkamate mwizi wetu tu huyo PAP
Tunamuogopa sisi lkn hatuna sababu ya kumuogopa kwa sababu haogopeshi mtu ni sisi tu ndiyo tunaogopa kwa sababu ni waoga wa kuwa na kiongozi mwenye uwezo wa kuwaambia wapambe kuwa ikuru ni sehemu takatifu. Tusimuogope E. Lowasa 2015
Leo tumejionea kifo cha kashfa ya account ya tegete escrow namna ili zimishwa na kupunguzwa joto lake. Lkn inasemekana huo ni mwanzo tu wa kashfa zinazo kuja baada ya hii. Nazo sijui joto lake litakuwa vipi? Au wahusika watatoa mbwembwe gani kama tulivyoziona za Hii ya Escrow. Kikubwa tumeona...
Nimeona vyema niwaulize wenzangu wenye maono ya kujua siri za watu hata kama wenye siri wao hawajui lolote. Ni huyu huyu Lowassa ndiye aliyesemekana yeye ni muhusika mkuu wa kashfa ya Richmond na kwa ujumla ni kampuni yake Kwa mbwebwe zilivyo chambuliwa Herufi za Jina lake na la mwanae kuonyesha...
Edward Lowasa toka aanze kufanya shughuli za kijamii baada ya kujiuzuru uwaziri mkuu. Baadhi yetu tumekuwa na woga naye sijui kwa sababu gani waliyo iyona kwake ya kuwatisha. Kila umuulizaye atakwambia ni fisadi ukitaka athibitishe madai hayo hilo linakuwa kwake ni swali la dola milion moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.