Escrow, Dowans. Richmond ni kampuni za Lowassa?

Lowasa 2015

Member
Nov 21, 2014
9
0
Nimeona vyema niwaulize wenzangu wenye maono ya kujua siri za watu hata kama wenye siri wao hawajui lolote. Ni huyu huyu Lowassa ndiye aliyesemekana yeye ni muhusika mkuu wa kashfa ya Richmond na kwa ujumla ni kampuni yake Kwa mbwebwe zilivyo chambuliwa Herufi za Jina lake na la mwanae kuonyesha namna uhusika wake ulivyo. Mwanaume wa siasa aliamua kujiuzuru Uwaziri Mkuu. Kwa masrahi ya umma. Lakini kumbe ilikuwa ni maslahi ya baadhi ya watu waliogopa nguvu zake za kisiasa jinsi zilivyo kuwa zinatishia za wengine hasa ktk wakari huu wa kinyang'anyiro cha urais. Napata wasiwasi juu U dhamira wa kisisa za upinzani uliopo ktk chama cha CHADEMA. Nikirejea ktk Suala hili jinsi ilivyokuwa kwa viongozi waandamizi wa chadema namna walivyo tuaminisha kuwa Richmond ni E l. Jina likabadirishwa na likawa Dowans Nayo hali ikawa mbaya sana tuandamane tu ndiyo suruhisho watuue hatukubali. Mashine zikapata jina Lingine na kuitwa Simbion Kwa Fist Lady Hilali Crinton kuja rasmi kufanya ufunguzi wa mitambo hiyo kuanza kazi ile ile ilivyo kuwa kwa Richmond. Dowans. Ya kutuuzia umeme ktk grid ya taifa hapa sasa kila aliyekuwa mwenye kiherere Aliufyata mdomo. Kulikoni hawakutuambia kuwa hii ndiyo ilikuwa Suruhisho la Richmond. Dowans. Sasa ni wakati umefika kila alitesema Lowassa ni Fisadi kwa akijili ya kashfa ya Richmond Leo lazima ajisahihishe kwa hili ashiriki kumsafisha kama walivyo shiriki viongozi wetu wa taifa na dunia kumsafisha kwa kucheza mpira wa umeme ktk mitambo ile iliyo ligharimu taifa letu kumkosa waziri wetu mkuu Lowassa kufikia hatua ya kujiuzuru. Ya Escrow tunawaachia wenye meno watafunane 2015 tutakuja sikia sauti ya mnyonge ikisikilizwa mbele ya haki.
 

jiwe la maji

JF-Expert Member
May 17, 2014
1,065
2,000
Lowassa ni mnafiki wa kutupwa tena usijenifanya nikawatukana kama kweli anahuruma na sisi kwanini hakupaza sauti wakati alipokua anashuhudia mkuu wake anavyochota pesa kwa richmond CHADEMA ni Zitto Kabwe tu ndio alikua anaunga mkono huu wizi
 

Lowasa 2015

Member
Nov 21, 2014
9
0
Sikuelewi? Jiwe la maji haliumizi hata hayo matusi utakayo nitukana hayata niumiza yatakua ya maji. Bado umelala
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,804
2,000
Kama Escrow, Dowans Na Richmond ni za Lowassa Wewe Kinakuuma Nini? Hivi Kuna Ulazima Mtu Kuanzia Mada Za KiPOPOMA Humu? Mods Na Nyie Muwe Mnaangalia Basi Kwani Muda Mwingine Mtu Anaweza Humu Mada Nzuri Tu Na Mnawahi Kuzifuta Lakini Zisizo Na Miguu Wala Kichwa Kama Hii Mnaziacha. Hivi Kweli Escrow Ingekuwa Ni Ya Rais MTEULE Ajaye Edward Ngoyai Lowassa Ripoti Za CAG Na Ile Ya PCCB Si Zingemtaja? Zimwogope Nini? Kama Alitajwa Premier Pinda, TEZI DUME though Indirect Na Wanae Miraji Na Salama Condom Ingeshindwaje Kumtaja Lowassa? Sometimes INEKERA:angry:.
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
16,926
2,000
Sitakuja wasahau mapacha watatu: kikwete lowasa rostamu kwa kujitengenezea kampuni feki na kuchota mil 152 kila siku. Hakika dhambi hii itaendelea kuwafata popote watakapokuwa. Jeuli ya kugawa pesa ni baada ya kuliibia warz
Sijawahi kumsikia jambazi akimkemea jambazi mwenzie ndo maana utaona wenye nia ya urais ccm wote majambazi Ndo maana pamoja na swala la escrow kuwa swala la aibu kitaifa na kimataifa na ni swala linaloongeza tofauti kati ya walionacho na akina ss huwezi kumsikia mtu km liwasa kwamfano akisema tunataka wahusika wafilisiwe na kufungwa maisha jela. Lowasa namfananisha na mbwa!
 

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,148
2,000
Pole mbona unatoka povu ama huamini hata unachosema ww mwenyewe dah nakuonea huruma u
 

Wile GAMBA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
1,809
0
Hii nchi watu wemeisha ipiga sana... na kama lowasa angekuwa msafi wala usinge hitaji kuleta mada ya kumsafisha humu, hii ni kueonsha mafisadi na wananchi wanaoendekeza njaa ilio pitiliza...mtu msafi haitaji kusafishwa...
 

harold mbise

Member
Aug 12, 2013
75
95
Lowassa ni mnafiki wa kutupwa tena usijenifanya nikawatukana kama kweli anahuruma na sisi kwanini hakupaza sauti wakati alipokua anashuhudia mkuu wake anavyochota pesa kwa richmond CHADEMA ni Zitto Kabwe tu ndio alikua anaunga mkono huu wizi
unafiki wake uko wapi embu fafanua vizuri cyo unaandika kwa jazba bila kuwa na vithibitisho
 

Chaimaharagwe

Senior Member
Oct 15, 2014
177
0
Lowassa ni mnafiki wa kutupwa tena usijenifanya nikawatukana kama kweli anahuruma na sisi kwanini hakupaza sauti wakati alipokua anashuhudia mkuu wake anavyochota pesa kwa richmond CHADEMA ni Zitto Kabwe tu ndio alikua anaunga mkono huu wizi
Mbona unatumia hasira??? 2liza akili ndo uandike.....ucje 2fanya tuone kwamba ukawa wamekupa kiroba
 

Lowasa 2015

Member
Nov 21, 2014
9
0
Leo tumejionea kifo cha kashfa ya account ya tegete escrow namna ili zimishwa na kupunguzwa joto lake. Lkn inasemekana huo ni mwanzo tu wa kashfa zinazo kuja baada ya hii. Nazo sijui joto lake litakuwa vipi? Au wahusika watatoa mbwembwe gani kama tulivyoziona za Hii ya Escrow. Kikubwa tumeona namna wahusika walivyopewa nafsi ya kujibu tuhuma na Taarifa za CAG. PAC. Na takukuru kama vile hii ilikuwa ni kashfa ya kwanza kutokea ktk nchi yetu. Kumbe iliwezekana hata Kagasheki. Ngereja. Na na na. Ukweli Utabaki pale pale tukijiuliza Je? Richmond na Escrow ni kampuni za Nani? Mbona Yona naye yumo. Ngereja naye yumo. Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa kipindi hicho Chenge naye yumo. Je? Waziri wa madini wa kipindi hicho alikuwa wapi? Ni nani? E. Lowasa 2015 tunamsubiri tujange nchi
 

matuja lulabi

New Member
Dec 22, 2014
3
0
jaman ndg zangu naomba nipewe ukwel juu ya hii hbr...

Mmiliki wa VIP Enginering, aliyekuwa anamiliki
hisa IPTL James Rugemalira.
Mmiliki wa VIP Enginering, aliyekuwa anamiliki
hisa IPTL James Rugemalira amefungua kesi
mahakama kuu akiidai serikali jumla ya Sh.
398 bilioni zilizokuwemo/ zinazotakiwa
kuwemo katika Escrow Account ya Tegete na
zilizolipwa kwa kampuni ya PAP na kuleta
mjafala mkubwa bungeni.
Katika madai yake, mwenye hisa hatambui
malipo yote yaliyolipwa na serikali kwa
kampuni ya PAP kwani kampuni hiyo haikuwa
na nyaraka halali kutoka kwa msajili wa
makampuni BRELA, Taxe Clearance Certificate
kutoka TRA, kuandikishwa Tanzania
Investment Center na wala mmliki wake kuwa
na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini
kutoka idara ya Uamiaji.
Katika hoja yake mdai anasema kuwa ni
jukumu la serikali kuwahakiki wawekezaji wa
nje ili kuwalinda wawekezaji wa ndani pindi tu
wanapoingia ubia na wawekezaji wa nje.
Ameendelea kudai kuwa, kwa uzembe huo wa
serika kwa kutotimiza uhakiki wake wa kigeni
ulisabibisha kampuni yake ya VIP Engineering
kuingia ubia na Kampuni Feki na
kumsababishia hasara ya sh. Bilioni 56 kwani
alizimika kuvunja ubia wao na kumfungulia
mashitaka mbia mwenza PAP baada ya
kugundua ubabahishaji wa uhalali wa kampuni
hiyo.
Hivyo ameitaka tena serikali kulipa gharama
zote alizotumia kuendesha kesi sh. 36.8
bilioni.
Aidha amedai kuwa aliwafahamisha serikali
kutolipa malipo yoyote yaliyokuwemo kwenye
account ya Escrow na endapo serikal ingeona
kuna haja ya kufanya hivyo basi ilipe kwa VIP
au IPTL account ambayo yeye alikuwa
signatory.
Katika uwasilishaji wake mahakamani hapo
anadai kutofahamu au kutambua kulipwa kwa
PAP. Hivyo serikali inatakiwa kulipa tena
madai yote kwa VIP au IPTL. Amewapa
serikali siku 14 tu toka 1 Januari, 2015 kuwa
wamelipa malipo yote.
Katika madai hayo, ili kuyadhitisha
ameambatinisha:
1. Report ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za
serika inayodhibitisha baadhi ya pesa kulipwa
kwa PAP
2. Mkaguzi mkuu kudhibitisha kuwa mlipwaji
hajawahi kusajiliwa kama mlipa kodi wala
kupewa Taxe clearance certificate.
3. Report ya mdhibi mkuu wa Rushwa
kuthibitisha kuwa kampuni iliyolipwa
haikusajiliwa BRELLA na wala haikuwa na sifa
au uhalali kufanya kazi yoyote ya ugavi dhidi
ya Shirika lolote la Uma.
3. Report ya Bunge kama muhimili mwingine
wa nchi kupitia kamati yake ya hesabu za
serikali na mashirika ya uma kutodhibitisha/
kudhibitisha juu uhalali wa PAP, mmiliki wa
kampuni ya PAP na utendaji wake wa kazi.
4. Mapendekezo ya kamati ya bunge kwa
serikali dhid ya PAP, mali zake na mmiliki
wake.
5. Mapendekezo ya bunge kwa serikali
yanayodhibitisha kuwa PAP haikuwa halali.
6. Mapendezo ya bunge kwa serikali juu ya
watendaji wote walioshilikiana kwa pamoja ya
kuilipa kampuni isiyo halali.
7. Baadhi ya magazeti likiwemo gazeti la
serikal kudhibitisha mkuu wa nchi kupokea na
kuridhia mapendezo hayo.
8. Magazeti pamoja na la serikali kudhibitisha
serikali kwa kuwaadhibu watendaji wote
waluofanya udhembe wa kulipa kampuni isiyo
halali.
9. Mkanda wa video ya Rais wa nchi katika
hotuba yake kukili watendaji wake kuilipa
kampuni isiyo halali na kawasimamisha kazi
kwa uzembe huo.
10. Barua ya Mwanasheria mkuu wa serikali
kwa Rais ya kuomba kujiuzuru kwa kufanya
uzembe huo wa kulipa kampuni isiyo halali.
11. Barua ya Rais kwa Mwanasheria mkuu
kukubali kujiuzuru kwake kwa kutoa ushahuri
wa kulipa kampuni isiyo halali.
Kesi hiyo uenda ikaamsha tena hasia za
wanachi juu ya malipo ya Escrow account. Ni
mtihani mwingine kwa serikali kwani Bunge na
wanachi hawako tiyari kuona pesa kama hiyo
ikilipwa tena.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom