Recent content by lowale

  1. lowale

    Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Pole sana mpambanaji mzee ametangulia tutaonana nae baadae
  2. lowale

    Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

    Naamini walipima pia macho maana nasikia ukipima macho ya huyo mfu huwa yanaonyesha picha ya aliyefanya tukio
  3. lowale

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Kama upo Dare salaam mtafute huyu mtaalamu anaitwa George yeye ni Occupational Therapist namba yake ni +255656050300 .amespecialize kwa watoto wenye Usonji ..atakusaidia usikate tamaa utanipa mrejesho asante
  4. lowale

    Tahadhari: Wizi wa vifaa ndani ya magari hospitali ya KCMC balaa

    Kuna mwizi anaitwa kokomit alikamatwa na sasa yupo ndani anatumiķia kifungo cha miezi 6 gerezani
  5. lowale

    Mtwara: Mwanafunzi wa kidato cha 1 aandika barua kwa Mwalimu Mkuu akisema Shule imemshinda

    Kwanini aandike aiweke kwenye mtandao? Siku hizi ofisi zinafanyia kazi mtandaoni?
  6. lowale

    Accomodation Mwenge University Moshi

    Namba imekosewa 0735407588
  7. lowale

    Accomodation Mwenge University Moshi

    Kwa wale wageni maeneo ya chuo na wanafunzi nicheki kwa issue ya malazi hasa wasichana namba ni 073540758i
  8. lowale

    Waliochaguliwa Mwenge University Accomodation

    Vyumba vinapatikana maeneo ya mwenge univerity wanafunzi nicheki kwa namba 0735407588
  9. lowale

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Asante sana kwa jitihada na nia njema uliyo nayo ..ninaomba utusaidie uanzishe group la whassap au telegram utupie ..wengi huku tunashindwa kuziupload
  10. lowale

    SoC01 Ni wajibu wetu kujitoa kuwasaidia watu wenye mahitaji muhimu katika jamii

    Msaidie mtoto asante sana muanzisha mada mtoto anaitwaBakari Omary ambaye amezaliwa mgongo wazi,anahitaji mkubwa wa wheelchair na pampas.ana umri wa miaka 13,anasoma darasa la sita wheelchair aliyokuwa anaitumia imechoka na kuharibika.sasa hivi anajivuta chini hawezi Tena kwenda shule anahitaji...
  11. lowale

    Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Wameeipoti tu na kuanza kulalamika ...ninakumbuka mwaka 2010 janury nilipoajiriwa halmashauri niliripoti nikaambiwa nikakae nyumbani nikawaomba nifanye kazi kwa kujitolea hadi fedha itakapotoka ..na nilikuja kuipata april
Back
Top Bottom