Recent content by Low budget plan

  1. Low budget plan

    Nyerere alikuwa ni mlevi wa madaraka

    Daah nmeshndwa kuandika maoni yangu lakini nadhani kiazi kisicho iva
  2. Low budget plan

    KERO SGR rekebisheni muda wa Safari, mnapoteza abiria

    Tunawawahisha abiria zetu makazini huko sehemu mbalimbali
  3. Low budget plan

    Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Naona taratiiibu unawaza namna ya kubadili mfumo wa afya ya akili hapo nyumbani kwako.
  4. Low budget plan

    Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

    Day moja mida ya jioni nlikua napiga stori na mama fulani hapa jirani yangu, stori zilipo fika tamati nika muaga naondoka, akasema chukua hi Mai mbili(Karume) mpelekee mkeo jana aliniazima hela ya kibiriti, nikaichukua nikaitia mfukoni nikasepa zangu kuelekea home, nlipofika home wife sikumkuta...
  5. Low budget plan

    Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Kwa nadharia hii VP ajae ndo atakua ndo mchora njia!??
  6. Low budget plan

    Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);
  7. Low budget plan

    Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Umesoma ila hujamwelewa ndugu yetu, em rudia Tena kusoma ukisha mwelewa njoo umwepushe na jela za huko China maana kule atapimwa korona kwa kipimo kipya aisee[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  8. Low budget plan

    Yamenikuta China naiona jela inaniita, nisaidieni mwenzenu ninusurike

    Usijali broh! Haya Mambo Ni madogo mnooo...awali ya yote em tupe namba za Shem wa kichina kwanza tuyamalize kifamilia zaidi, kuhusu huyu wa huku bongo, huyu tuachie sisi tutaandaa kikao maalumu Cha kamati kwa sangoma pale, hatuezi acha hela iende buree lazima ije bongo.
  9. Low budget plan

    Wajuzi wa Magodoro mazuri, msaada wenu tafadhali

    Wakuu haya magodoro ya TANFOAM ni babalao mji mzima wa Kyela ni duka moja tu yanauzwa tena yapo mawili pale 5x6 ni laki mbili na hamsini R
  10. Low budget plan

    Nina miaka zaidi ya 30 sina ninachomiliki, nahisi kukata tamaa. Msaada wenu

    mkuu pole... Kwamza tambua haupo pekeako, wengine katika hali kama yako wapo na familia pia but life inasonga kikubwa pumzi ... Chakufanya kila siku amka asubuhi na mapema mshukuru Mungu, kisha fanyia usafi chumba chako na mazingira ya hapo nje, kisha washa moto na uchemshe maji nenda oga...
  11. Low budget plan

    Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    Waafrika buana...mtu anasema tena macho kodooooo...."FYEKENI MAPORI MLIME, MBONA MAPORI NI ZAIDI YA 70%" akati huyohuyo anaPREACH kutwa nzima kwamba UKAME UMEZIDI... Sisi tumerogwa na mchawi wetu kafa... mzungu hawazii miaka BUKU IJAYO yeye anawazia THE FUTURE OF OUR MOTHER EARTH bila hata...
  12. Low budget plan

    Nakusudia kumshtaki baba yangu

    Daah! Pole kiukweli tuliohujumiwa na wazazi wetu wa kiume tupo wengi sana.
Back
Top Bottom