Makamanda
wakati Wa kuimbiana ngonjera na mashahiri ufike mwisho. CCM ni sikio LA kufa.... Kazi ya kuleta mabadiliko ya kweli inahitaji kujitoa na kuwa na dhamira ya kweli. Haiitaji watu wenye hulka ya kuendekeza njaa. Uzoefu wangu was miaka 19 katika siasa zetu hizi za kienyeji unaonyesha...
Mwaka huu akiiba na sisi tutaiba..Lwakatare ni MTU mwenye maono ya kutupa bukoba tuitakayo.
Mungu atampigania na kila mwana Bukoba mweye akili timamu am support Rwakatare.
Mtu aliyechoka yuko hivi;
1) Ndiye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa Chama chenye wanachama zaidi ya bilioni moja ndani na nje ya nchi.
2) ndiye kiongozi mkuu wa Red Brigade inayowaumiza vichwa CCM.
3) kwa waliofanya kazi na hili jembe wanamuelewa Lwakatare Muganyizi kama mtendaji muadilifu...
Kaka Zitto alishanunuliwa zamaaani Sana.
karma ndo imemkuta Zitto Pascal..yeye ndiye alishikia mabango Wilfred Lwakatare afukuzwe CHADEMA mwaka 2013. Leo karma ndo imemkumba yeye 'AMEFUKUZWA'.
Dicsipline ni kitu muhimu Sana ktk institution yoyote. zitto pamoja na kuwa na ushawishi...
ahsante Baba yetu Mwanakijiji lakini; naionea haya nafsi yangu kusema kwamba Komba alikuwa MTU mwema kwa nchi hii.
MTU aliyetumia kipaji na karma yake kutetea ufisadi,kudhihaki wenzake nk nitakuwa mnafki kusema mazuri yake.
najua haya yanaiumiza sana familia yake na wengineo lakini ndiyo...
Habari ya Jioni Ndugu Watanzania,
Nichukue fursa hii dhahabu kuwakaribisha katika
Sherehe ya Kujipongeza kwa wanabukoba kwa
ushindi wa kishindo (67%) wa uchaguzi Serikali za
mitaa kupitia CHADEMA.
sherehe itafanyikia katika Kisiwa cha NYABESIGA
(Pemba Ndogo) tarehe 3 Januari 2015(saa 3:30...
Wilfred Muganyizi Lwakatare a.k.a Engaju ya Bukoba. Alizaliwa 4/Januari/1961 Ibwera, Bukoba katika ukoo wa Abasingo. Alipata elimu katika shule za Katwe, Tambaza Sekondari, Minaki Sekondari, Lutheran Junior Seminary na kisha Chuo Kikuu cha Dsm na kupata Shahada ya Utawala na Mahusiano ya...
Mcfm40..you are smart..umeona mbali tena mbali haswaa.
kwa kweli Usalama Wa Taifa wamepoteza dira ya kazi..kazi yao kubwa siku hizi ni kujitapatapa kwamba wao ni Usalama Wa Taifa kwenye mabar na sehemu mbalimbali za starehe. badala ya kumshauri raisi kipindi hiki hatari sana Taifa lijihami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.