Makamanda
wakati Wa kuimbiana ngonjera na mashahiri ufike mwisho. CCM ni sikio LA kufa.... Kazi ya kuleta mabadiliko ya kweli inahitaji kujitoa na kuwa na dhamira ya kweli. Haiitaji watu wenye hulka ya kuendekeza njaa. Uzoefu wangu was miaka 19 katika siasa zetu hizi za kienyeji unaonyesha kuwa ulafi ni hulka ya MTU na Si swala linalotokana na umaskini wake. Tanzania asilimia kubwa ya walafi ni wale wenye Mali na kipato kikubwa na anayebisha a evaluate. Harakati zetu hizi zinataka uwe na roho ya paka, tena paka wa porini.
Simtishi MTU lkn ndivyo ilivyo.
Wanaoingia kwenye siasa kichwakichwa,wawe na maono.
Source: Facebook
Wilfred Lwakatare