Recent content by lovely_f

  1. lovely_f

    Ugonjwa wa kisukari na group O la damu kuna uhusiano gani?

    Kisukari kina tiba na dawa zake... Kama u dont take seriously hapo ndio inakua tatizo.. Lakini ukipata dawa sahihi nakufuata masharti yake unaweza kuishi miaka mingi bila matatizo yoyote.. Ushauri wangu wapeleke wazazi clinic ya kisukari ili wapate dawa itakae wasaidia kuendana na stage ya...
  2. lovely_f

    Magufuli: First EA President with a doctoral degree

    Its is certainly not a must!!! The language any president that campaigns, is that of their native country and definatly not english!!!! Which means english is NOT a prerequisite to making it to presidatial office.. Nor sikuwah kusikia any rule or law that says a president should speak english...
  3. lovely_f

    Iringa Mjini hali ni mbaya mabomu yanalindima

    Chuki binafsi hizo..
  4. lovely_f

    Huyu ndiye adui namba moja wa ustawi wa siasa za Iringa na viunga vyake

    Tuache propaganda zisizokua na sababu... Living aside siasa.. Hyo familia ndio inasaidia sana iringa kimaendeleo!!!! Hayo malori na shamba viwanda vyote kaajiri wana iringa kama angekua adui basi angenyima watu wairinga fadhila za kuwapa kaZi nakutaka kuiendeleza. Hakikisha umefanya research...
  5. lovely_f

    Mwanamke kutoka India akatwa mkono Saudia Arabia

    Sio vema and not fair ku Generalize "waarabu" kwa kosa la mtu mmoja...kila mtu ameumbwa tafauti jus because hyo mmoja kakosa haimaanishi wote wapo hvyo!!@
  6. lovely_f

    Tumbo linamsumbua, amekula samaki na maziwa nini dawa yake?

    Anywe maji ya vuguvugu na asali.. 3X
  7. lovely_f

    Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Jus because anauliza kuhus chadema and hamtaki kujibu ndio inamhusu nini.. Common guys.. watu wapo kwenye kampeni meaning wanting votes.. Ili mwananchi achague chama sahihi ana full rights za kuuliza not jus for the fellow citizens but hata kwake.. Ukimuuliza inamhusu nn hujamjibu rather...
  8. lovely_f

    Msaada: Nimeingiwa na mdudu (mbu) kwenye sikio

    Try filling your ear with any oil... Kisha tip your head to oneside, it will drown it and definatly kill it or use a tweezer to remove it
  9. lovely_f

    Ombea sana uchaguzi wa mwaka huu

    Kwa whats going on in social medias.. Watu washakua divided tunahitaji maombi sanaa... Tanzania yetu inajulikanika na inasifika kwa umoja na amani... Siasa isiwe sababu ya division kati ya wananchii.. May the Almighty protect tanzania and its people AMEEN...
  10. lovely_f

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Issue sio kuisambaratisha ukawa issue hamtaki LOWASSA.. Kama alivosema lipumba nikinyume na walivokua wakiamni kama wana ukawa.. Kukubaliwa kwa lowassa is jus contradicting what they "HAD" said before
Back
Top Bottom