Ombea sana uchaguzi wa mwaka huu

Ombea sana uchaguzi wa mwaka huu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Naamini wote tunapenda amani na upendo.

Kwa.diniyako imani yako, chukua muda kwa pamoja ombea uchaguzi wa tanzania ukiacha tofauti zetu za kisiasa.

MUNGU ATUPE AMANI TUWE KITU KIMOJA 26, OCT.

AMEN.
 
Naaamini akuna anaependa kulala sa tisa mchana kama ivorycoast basi maombi n silaha tosha
 
Siko Tanzania kwa sasa ila nimeacha wazazi wangu, wadogo zangu na ndugu na jamaa na rafiki na watz kwa ujumla! Ninaliombea taifa langu kila siku! MUNGU aliepushe na vurugu sitaki kuomba uraia huku ulaya kama mkimbizi!
Mungu ibariki Tanzania! Amen
 
Naamini wote tunapenda amani na upendo

Kwa.diniyako imani yako.chukua muda.kwaa pamoja ombea uchaguzi wa tanzania ukiacha tofauti zetu za.kisiasa.MUNGU ATUPE AMAN TIWE.KITU KIMOJA 26OCT

AMEN
PASPO HAKI HAPANA AMANI
hAKUNA AMANI KWA WABAYA
 
Watanzania wote ni ndugu tuombe Mungu kwa pamoja atuepushe na ukosefu wa amani
 
Kwa whats going on in social medias.. Watu washakua divided tunahitaji maombi sanaa... Tanzania yetu inajulikanika na inasifika kwa umoja na amani... Siasa isiwe sababu ya division kati ya wananchii.. May the Almighty protect tanzania and its people
AMEEN...
 
ccm wanapanga mikakati mingi sana ikiwemo ya kudhuru watu kwa risasi na mabomu...
Kuweni makini...!!
 
uchaguzi wa safar hii ni wa tofauti sana hii hali ya upinzani wa hali ya juu maaba yake Mungu anataka kuweka kiongozi wake sasa siku zote shetani huenda kinyume na Mungu hufanya kila hila yule ambaye Mungu amemkusudia asikae ndio mana imefika sehem watu hawajui nani anafaa ila sikuzote angalia matendob ya mtu kabla ya kutaka uongozi historia yake je,ni mchapakazi,mwadilifu,si mchochezi,si mtimu wa vurugu nk sifa za kiongozi bora hapo utatambua yupi anafaa bila kujali chama angalia mtu sio chama.
 
Amen Amen
Naamini wote tunapenda amani na upendo.

Kwa.diniyako imani yako, chukua muda kwa pamoja ombea uchaguzi wa tanzania ukiacha tofauti zetu za kisiasa.

MUNGU ATUPE AMANI TUWE KITU KIMOJA 26, OCT.

AMEN.
 
Naamini wote tunapenda amani na upendo.

Kwa.diniyako imani yako, chukua muda kwa pamoja ombea uchaguzi wa tanzania ukiacha tofauti zetu za kisiasa.

MUNGU ATUPE AMANI TUWE KITU KIMOJA 26, OCT.

AMEN.

Tuombe Ccm wakubali matokeo NA wakubali siasa za kistaarabu
 
Naamini wote tunapenda amani na upendo.

Kwa.diniyako imani yako, chukua muda kwa pamoja ombea uchaguzi wa tanzania ukiacha tofauti zetu za kisiasa.

MUNGU ATUPE AMANI TUWE KITU KIMOJA 26, OCT.

AMEN.

NDUGU HAYA YANAITWA MAOMBI YA ZIMA MOTO. NA NDIO WATUMISHI WENGI WA MUNGU UYATUMIA BILA KUJUA KANUNI YA MTOTO AMANI NI NINI.

SIPINGI MAOMBI.
LAKINI HAYO MAOMBI YANAFUATA KANUNI ZA MUNGU? NA HAPA WATUMISHI WA MUNGU WAWE WA KWELI,MAANA WAMEKUWA HAWASIMAMII UKWELI WA NENO LA MUNGU.

WANAFANYA HIVYO HILI KUWAPENDEZA WATAWALA NA SIO KUMPENDEZA MUNGU.

HEMBUTUJIULIE KWA NINI WATUMISHI WA MUNGU HAWASIMAMI KWENYE UKWELI? NA KUWAAMBIA WATAWALA UKWELI ILI TAIFA LIENDELEE KUWA NA AMANI?

1: NI UWOGA WA WATUMISHI WA MUNGU KWA VIONGOZI NA WATAWALA.
2:KUKENGEUKA KATIKA KWELI YA MUNGU.
3:KUWATEGEMEA WANADAMU KULIKO KUMTEGEMEA WANAYE MTUMIKIA YAANI MUNGU.

HAYA NDIO MAMBO YANAYOWAFANYA VIONGOZI WA DINI WASISIMAME KATIKA UKWELI.

KWANZA TURUDI KATIKA MAANDIKO MATAKATIFU;

- Maana ufalme wa Mungu si kula na kunywa,bali ni HAKI.AMANI.na furaha katika Roho mtakatifu. [warumi 14:17]


kwa maandiko haya ni wazi kabisa watumishi wa MUNGU wameacha kabisa msingi wa neno la MUNGU na kujitungia maombi yao kwa kuwafuraisha watu.

TURUDI KWENYE NENO LA MUNGU TUOMBEE HAKI MAANA AMANI NI ZAO LA HAKI.

HAKI. HAKI. HAKI' HAKI. HAKI. NA AMANI UJITOKEZATU.

 
Eee Mungu wa Mbinguni TUNAKUOMBA utuepushe na haya yanayotokea sasa....

Eee Mungu kweli hawa watu walikuwa na nia njema nasi kweli?????????????

Ni kwa nini ee Baba walituthibitishia kuwa wanatujali lakini sasa wameonjeshwa utamu wa ngano kidogo sasa wanataka pipa lote.

Ni kweli Baba tunajua hela ilimuuza Yesu lakini Baba si ni yuda alijuta sana baada ya usaliti????????????????

Tunakuomba uwapige upofu woote wanaopinga mabadiliko na wooote wanaoyapuuza...........

Kwani BABA sisi tumekukosea nini sisi wanao hadi TUISHI NAMNA HII????????

1. GESI NI BEI JUU NCHINI

2. ADA SHULENI HAZIFAI HATA KWENYE PUBLIC SCHOOL TU KUNA WASIOWEZA KULIPA.

3. MAFUTA YOOOOOTE BABA... YA TAA, YA PETROLI, YA KULA N.K BEI NI JUU

4. KODI BABA TUNALIPA KWA KILA BIDHAA.... Yaani mfano Baba yetu.. KAMA UNAKUNYWA MAJI ASUBUHI LT 1 UTAILIPIA NA KODI, UKINYWA JIONI BABA KODI NI ILEILE.

5. BABA HAPA NCHINI HATA ULIMEJE SOKO HALIPO NA KAMA LIPO BEI NI YA MKULIMA KUSHIKIWA CHINI NA KUNA WAKATI BABA WANAKOPWA NA HAWALIPWI KWA WAKATI NA WANAPOLIPWA WANALIPWA KIDOGO KIDOGO MPAKA HAWAONI FAIDA YA MAZAO YAO BABA.

6. BABA VIWANDA VYOTE VIMEKUFA BABA, MKOLONI ALIACHA VIWANDA KIBAO NA VINGINE VILIJENGWA NA JK WA KWANZA BABA ILA SASA HAVIPO. KAMA SIO BODABODA HIZI BABA BASI AJIRA KUU INGEKUWA WIZI NA UKABAJI. ILA TUNAMSHUKURU MTUMISHI WAKO MCHINA BABA.... AMETULETEA BODABODA AMBAZO HATA GRADUATE SAS ZIMEWAKOMBOA.

7. BABA MAHOSPITALINI SIKU HIZI UNAPIMWA TU, DAWA UTAJUA MWENYEWE????? NATAKA KULIA NIKIFIKA HAPA BABA ILA KUNA AMBAO WAKIUGUA TU BABA WANAPANDA MAPIPA YANAYOPAA YA MZUNGU, WANAENDA ZAO NJE KUTIBIWA.

8. HIVI BABA ULIKOSEA ULIPOWEKA MADINI AINA ZOTE TANZANIA??? TENA MENGINE YANAPATIKANA HAPA BABA. LAKINI HAKUNA HATA KIWANDA KIMOJA CHA KWETU KINACHOUZA BIDHAA ZILIZOKAMILIKA ZA MADINI YETU DUNIANI....

9. BABA NAONA AIBU KUSEMA KUWA TUNA TEMBO NA VIFARU TANZANIA. TUONEE HURUMA KWASABABU WAMEWAMALIZWA WOTE WOTE WOTE.

10. BABA, MTU WA CHINI YAANI TUNAOITWA WA KAWAIDA NCHI HII HATUNA LETU... SUKARI BABA, MIWA IPO TPC KIBAO, KILOMBERO NA KAGERA LAKINI KG YA SUKARI HAAAAAAAA.....

KWAHIYO TUNAKUOMBA UFUNGUE MIOYO NA MACHO YA WAPENDA MAENDELEO NA UFUNGE YA WASIOTAKA ILI IKIFIKA SIKU BASI MZEE WETU EDWARD LOWASSA APITE BABA.

SI NI SAULI ALIUWA SANA WATUMISHI WAKO NA UKAMUONGOA AKAITWA PAULO NA NDIYE MTUME ALIYEFANYA KAZI KUBWA SANA KUKUTANGAZA. SASA KAMA KUNA DHAMBI YEYOTE IMEFANYWA NA MKOMBOZI WETU HUYU WA KIZAZI KIPYA BASI TWAKUOMBA UISAFISHE NA UKAMUWEKE JUU NA WABAYA WAKE WOOOOTE WASHUSHE KAMA ULIVYOWAPANDISHA.

NA WOTE NAOMBA TUSEME AMEEEEN.
 
Unawezaje kumwomba Mungu huku ukiwa umesha mwekea jibu la Fisadi awe Rais? Hivi mbona mnapenda sana kumchezea Mungu?
 
ccm wanapanga mikakati mingi sana ikiwemo ya kudhuru watu kwa risasi na mabomu...
Kuweni makini...!!

Thread inahusu kuliombea amani na umoja taifa letu na si mikakati ya kuvuruga amani. Km una wazo hilo anzisha thread yako. Mungu atusaidie tudumushe amani
 
uchaguzi wa safar hii ni wa tofauti sana hii hali ya upinzani wa hali ya juu maaba yake Mungu anataka kuweka kiongozi wake sasa siku zote shetani huenda kinyume na Mungu hufanya kila hila yule ambaye Mungu amemkusudia asikae ndio mana imefika sehem watu hawajui nani anafaa ila sikuzote angalia matendob ya mtu kabla ya kutaka uongozi historia yake je,ni mchapakazi,mwadilifu,si mchochezi,si mtimu wa vurugu nk sifa za kiongozi bora hapo utatambua yupi anafaa bila kujali chama angalia mtu sio chama.
 
Back
Top Bottom