Jamani naomba msaada nimeingia na mdudu (mbu) kwenye sikio,, msaada wana jf plz.. Nimejaribu kuweka maji then kuinamisha kichwa for couple of minutes bt no hope.. Nimejaribu kwa cotton buds.. No hope.. Mdaada wajameni.. Sitalala leo

Ulifanikiwa kumtoa?Wakuu sikufanikisha kumtoa huyu mdudu last night nimelala kwa shida sanaa..
Lakini sasa naona amekufa sijui maaaana hachezi tena ndani ya sikio bt nimejaribu jinsi ya kumtoa siwezi.. Naona kama sikio langu limeziba fulani hivi.. Bt nasikia vizuri sema na feel kabisa kuwa ndani ya sikio kuna kitu ndo kinacho ninyima raha