Recent content by loveleen

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Kupotelewa kwa Hati ya kusafiria (International Passport)

    Howt Lady ahsante na hili ni mojawapo ya tangazo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Kupotelewa kwa Hati ya kusafiria (International Passport)

    Salaams wapendwa ndugu yangu anayefahamika kwa jina "SALMA MUSSA KAPILIMA" Amepotelewa na International Passport yenye namba (AB 611234) pamoja na kitambulisho cha kupigia kura kilichotolewa tar 22/7/2015 Ivo basi tar 23/7/2015 akapoteza International Passport pamoja na kitambulisho...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Eight signs of Fake Friends

    Absolutely dear!!!!!!
  4. L

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    nawashauri muende kwenye ofisi zao za tcu labda mtapata suluhu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nacte application kwa mtu wa diploma

    Kama vp nenda ofisini kwao tcu!!!!!!!
  6. L

    JamiiForums Tanzania TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Home of great thinkers
  7. L

    JamiiForums Tanzania Airtel vifurushi vya OMG ni wizi wa Mchana kweupe

    gb30 kwa siku 3 si mchezo naomba maelekezo jinsi ya kujiunga kwa tigo na Airtel tafadhali
  8. L

    JamiiForums Tanzania Airtel vifurushi vya OMG ni wizi wa Mchana kweupe

    naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga tafadhali
  9. L

    JamiiForums Tanzania Doctors; Ndugu yangu anableed mwezi wa tatu(3) mfululizo

    Umejieleza vyema sana ndugu,Kama ni interview tayari umepita,hongera kwa kujua kuwakilisha/kuwasilisha mada ngoja Doctor's waje,mpe pole jaman MUNGU ATUNUSURU kwa maradhi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kudownload video's instagram

    Kwanza hongera umejieleza vizuri saana na picha juu,nategemea hutoulizwa lolote zaidi ya maelekezo tu,by the way ata mimi nina tatizo kama lako yaani mpaka leo nashindwa kudownload izo video Instagram,utakuta nimeona video nikaipenda japo nime download izo Application kama...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    ahsante sana mamy nimejifunza mengi kupitia ushauri wako.....ubarikiwe sana
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    mke wake yuko bomba tamaa zake tu.....lulu sijui ana jini mahaba alitaki awe na mwanaume maana kila mwanaume anaedate nae lazma arest in peace
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    hahahahaaa..... nimeipenda hii comment yako
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kanye West aanzisha Biblia yake, ajiita Mungu

    sijaiona cha ajabu hapo......!!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Sina uwezo wa kuzaa

    so sad.....Omg!!!!!
Back
Top Bottom